Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Saturday, 6 February 2016

Ratiba ya Soka katika ligi mbalimbali barani Ulaya Leo Jumamosi.

RATIBA YA SOKA LEO JUMAMOSI 06/02/2016 ★Barclays Premier League 3:45 PM - Manchester City vs Leicester City 6:00 PM - Aston Villa vs Norwich City 6:00 PM - Liverpool vs Sunderland 6:00 PM - Newcastle United vs West Bromwich Albion 6:00 PM - Stoke City vs Everton 6:00 PM - Swansea City vs Crystal Palace 6:00 PM - Tottenham Hotspur vs Watford 8:30 PM - Southampton vs West Ham United ★Spanish Primera...

Rosicky Nje miezi mitatu.

Kiungo wa kati wa kilabu ya Arsenal Tomas Rosicky hatochezea timu yake kwa kipindi cha miezi mitatu kutokana na jeraha.Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35 ambaye kandarasi yake inakamilika katika msimu wa joto,alipata jeraha jingine la paja wakati wa mechi dhidi ya Burnley siku ya jumamosi baada ya...

Friday, 5 February 2016

Hili ndilo Baraza la Mawaziri Vivuli lilikotajwa leo bungeni.

BARAZA KIVULI LA MAWAZIRI 1.Wizara ya Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora. Mawaziri – Jaffar Michael Naibu Waziri – Joseph Nkundi na Ruth Mollel 2.Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Waziri – Ali Saleh Abdalla Naibu Waziri – Pauline Gekul 3.Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu Waziri – Esther Bulaya Naibu – Yusuph Makame na Maftah Abdalla 4.Wizara...

Tuesday, 2 February 2016

Kiungo wa Manchester United ajiunga na Hull City.

Kiungo wa Klabu ya Manchester United,Nick Powell amejiunga na klabu ya Hull City baada ya kukosa nafasi katika klabu hiyo na atakuwa Hull City kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu kumalizika. ...

Manchester United,Arsenal zatuma ofa kwa Mshambuliaji wa PSG.

Vilabu vya Arsenal na Manchester United vyote vinashiriki ligi kuu nchini Uingereza vimeripotiwa kuangalia uwezekano wa kumsajili Mshambuliaji hatari Edison Cavan ambaye hana furaha katika klabu ya PSG ya nchini Ufaransa. Mshambuliaji huyo ambaye anapendelea zaidi kucheza nafasi ya ushambuliaji hana...

Monday, 1 February 2016

Beki wa Arsenal asajiliwa rasmi Bordeaux.

Klabu ya Arsenal imethibitisha mlinzi wake wa pembeni Mathieu Debuchy amejiunga na klabu ya Bordeaux kwa mkopo hadi mwisho wa msimu. Huku taarifa za awali zinasema;Klabu ya Manchester United ilikuwa imetuma maombi kwa klabu ya Arsenal kuhitaji kuhitaji huduma ya mlinzi huyo lakini kocha wa Arsenal ameamua...

VALENCIA YANASA KIFAA KUTOKA REAL MADRID

Klabu ya Valencia inayonolewa na Muingereza,lijendari wa Manchester United Garry Neville imethibitisha kumnasa winga mshambuliaji wa Klabu ya Real Madrid; Denis Cheryshev kwa mkopo wa miezi sita. -Bantu Sources. ...

Radamel Falcao kurejea Atlético Madrid.

Mshambuliaji wa Chelsea mwenye asili ya Colombia Radamel Falcao muda huu anasafiri kuelekea Spain kufanya makubaliano na Klabu yake ya zamani Atlético Madrid ili kuhamia katika Klabu hiyo. Dili hilo likitarajiwa kukamilika kabla dirisha la usajili halijafungwa.Endelea kutembelea www.bantuz.com kwa taarifa...

NEWCASTLE UNITED YAPELEKA DAU KWA BERAHINO.

Klabu ya Newcastle United ambayo inaonekana kufanya usajili wa kutisha katika dirisha hili muda huu imetuma maombi na dau la £24ml katika klabu ya West Brom kumsajili mshambuliaji hatari Saido Berahino. -Bantu Sources. ...

MAN UNITED YARUSHA 'NDOANO' KWA IGHALO.

Klabu ya Manchester United imewasilisha maombi kwa klabu ya Watford kumsajili mshambuliaji wao hatari Odion Ighalo kabla dirisha la Usajili halijafungwa. -Bantu Sources. ...

Bayern Munich yamsajili Serdar Tasci kutoka Spartak Moscow

Klabu ya Bayern Munich imemsajili Serdar Tasci kutoka klabu ya Spartak Moscow inayoshiriki ligi Kuu nchini Urusi kwa mkopo uliogharimu €2.5m kukiwa na kipengele cha kumnunua jumla kwa €10m. -Bantu Sourc...

Klabu ya Hannover 96 yanasa kifaa kutoka Besiktas.

Klabu ya Hannover 96 inayoshriki Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) imethibitisha kumsajili Alexander Milošević kwa mkopo kutoka Besiktas huku katika mkataba kuna kipengele cha kumnunua mkataba utakapomalizika. -Bantu Sources. ...