Kiungo wa Klabu ya Manchester United,Nick Powell amejiunga na klabu ya Hull City baada ya kukosa nafasi katika klabu hiyo na atakuwa Hull City kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu kumalizika.
Tuesday, 2 February 2016
Kiungo wa Manchester United ajiunga na Hull City.
Related Posts:
Ngebe,Vitimbi, Vituko vyatawala Uchaguzi mkuu Simba Vitimbi, vituko, na kejeli zilitawala jana makao makuu ya klabu ya Simba wakati wagombea uongozi wakirudisha fomu, huku mgombea urais, Michael Wambura akiambatana na viongozi wa dini waliomwaga sala. Wambura, ambaye … Read More
Giggs akutana na Van Gaalkujadili hatma yake Man Utd.. Mazungumzo: Ryan Giggs (pichani akiwa na mke wake Stacey mjini Manchester) alikuwa Uholanzi kukutana na Louis van Gaal. RYAN Giggs leo mchana alikuwa nchini Uholanzi kwa ajili ya … Read More
Mtoto wa Kocha Mourinho Asaini Kuichezea Fulham MTOTO wa Kocha, Jose Mourinho amesainishwa mkataba na klabu ya Fulham kama mwanafunzi baada ya kuruhusiwa kufanya hivyo na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa). Mtoto huyo ambaye ni kipa, Jose amekuwa akiichez… Read More
Tottenham Hotspurs yamtimua kocha wake ‘Tim Sherwood’ Kibarua cha kocha wa klabu ya Tottenham Hotspurs, Tim Sherwood kimeota nyasi baada ya klabu hio kutangaza kufukuzwa kazi kwa kocha huyo. Hii ni baada ya miezi 6 kwenye kazi hio na kuonekana hafai kumiliki game za klabu hi… Read More
Alichosema Rio Ferdinand kuhusu Kuondoka Man Utd na Hatma Yake,,,,,, Jana usiku maisha ya kisoka ya beki wa kimataifa wa England Rio Ferdinand ndani ya klabu ya Manchester United yalifikia mwisho baada ya kutangaza kwamba ameamua kuachana na klabu hiyo. Rio Ferdinand ambaye alijiun… Read More
0 comments:
Post a Comment