Sunday, 20 April 2014
Busara za Nyerere na Karume hakuna wa kuziendeleza...................??????
Mwl Nyerere na Sheikh Karume wakinywa Fanta bariiidi tena kwa mrija.....Hii ni kutokana na uzalendo waliokuwa nao waasisi hawa wa muunagano bila kujikweza wala kujilimbikizia mali tabia inayofanywa na viongozi wa sasa wenye uchu wa madaraka na tamaa ya Pesa.Hatimaye wanailimbikiza nchi madeni na hasara kitu ambacho kitasababisha mzigo mkubwa kwa kizazi kijacho na kuongezeka kwa umaskini
0 comments:
Post a Comment