Facebook

Sunday, 20 April 2014

Azam wakabidhiwa ubingwa jana ilikuwa ni shangwe na nderemo........ fuatilia hapa katika picha..........


ccc
 Wachezaji wa Azam FC wakiongozwa na nahodha wa timu hiyo John Boko wakatni wa kupokea Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.
  Wachezaji wa Azam FC wakishangilia.
 
 Wachezaji wa Azam FC wakishangilia.
 
 
 Mashabiki wa Azam FC wakishangilia.
 Wachezaji wa Azam FC, wakishangilia Ubingwa wao.
 Wachezaji na mashabiki wakishangilia ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.
Nahodha wa Azam FC, John Boko akiwa ameshika Kombe la Ubingwa wa Ligi ya Soka Tanzania Bara.

0 comments:

Post a Comment