Sunday, 20 April 2014
Kajala afunguka kuhusu kutoa machozi ...............................soma hapa.............
Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amefunguka kuwa machozi yake huwa yapo karibu hivyo ukimuudhi kidogo tu lazimaali
Kajala alisema: “Machozi yangu yapo karibu sana sijui kwa nini huwa nashindwa sana kujizuia yaani mtu akinikorofisha kidogo tu lazima nitoe machozi ndipo hasira zitulie.”
0 comments:
Post a Comment