Sunday, 20 April 2014
Kumbe ile meli iliyosadikika kuzama Ziwa Zictoria haikuzama,bali shehena ilipakuliwa na kuuzwa kenya kisha kuzamishwa................soma hapa...................
Ile meli iliyotangazwa imezama katika ziwa Victoria na tani 280 ya sukari siyo kweli. haikuzama ila umefanyika wizi na mmiliki wa meli hiyo Kitana Chacha wa Mwanza ambaye ikiwa njiani zilikuja boti kadha kutoka Kenya na sukari ikapakuliwa na kuingizwa kwenye hizo boti, na baada ya hapo meli ikazamishwa kwa kutobolewa chini ingawa haikuzama yote.
Inafaa vyombo husika vichunguze issue hii kwa kina na huyo Kitana na wafanyakazi wale wa meli wahojiwe kueleza ukweli.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari mbalimbali za kina na zilizojificha
Related Posts:
Mambo muhimu unayotakiwa kuyajua kuhusiana na kifo cha Nabii Elia aliyekuwa akijiita Mungu. Baada ya kifo cha aliyekua kiongozi na muasisi wa Kanisa la Pool of Siloam Nabii Eliya mungu wa Majeshi a.k.a Adamu wa pili, gazeti la JIBU YA MAISHA linalomilikiwa na kanisa la TAG limeandika mambo machache ya kus… Read More
BantuTz MAGAZINE-Soma kilichoandikwa katika Magazeti ya Tanzania leo Novemba 18 BantuTz MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusoma na kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma ku… Read More
Waziri nchini akiri kopekea fedha za ufisadi za ESCROW.Kumekuwepo na taarifa nyingi juu ya ufisadi wa fedha za akaunti ya Tegeta ESCROW.. Baadhi ya wanasiasa wametuhumiwa kupewa mgao ili kuzima suala hilo. Vyombo vya habari vimeripoti kuwa kuna Waziri mmoja alipewa zaidi ya Bill… Read More
Waziri Magufuli apokea Kivuko kipya cha MV DSM bandarini.Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli leo amepokea kivuko kipya cha MV Dar es Salaam chenye uwezo wa kubeba abiria 300!. Kivuko hiki kipya kitatoa huduma ya usafiri kati ya Jiji la Dar es Salaam na mwambao wa Bahari ya Hindi ha… Read More
BantuTz MAGAZINE-Soma kilichoandikwa katika Magazeti ya Tanzania leo Novemba 17 . BantuTz MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusoma na kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kup… Read More
0 comments:
Post a Comment