Kingdom Tower litakuwa na urefu wa feet 3,280
kwenda juu. Gharama za usimikaji wa jengo hili ni Dollar Bil 1,23 litakuwa na floor 200, ujenzi wa jengo hili utatumika kwa zege na vyuma.
Feet 5.7 zege itachukua nafasi na tons 80,000 ni vyuma vitachukua nafasi
hadi kukamirika.
Saturday, 19 April 2014
MAAJABU:Waarabu huko Saudi Arabia wanataka kujenga Ghorofa refu zaid Duniani....litakuwa linafika hadi mawinguni jionee hapa kufuru ya Waarabu.......
By Unknown at Saturday, April 19, 2014
Education Materials, Funny and Cartoons, International
No comments
0 comments:
Post a Comment