Monday, 21 April 2014
Maaskofu watoa msimamo wao kuhusu katiba..............fuatilia hapa....................
Katika salama za pasaka viongozi wa dini wa katoliki 32 wamesema maoni ya wananchi katika rasimu ndio msingi wa katiba hivyo wamewataka wajumbe wa bunge la katiba wa yaheshimu kama yalivyo wasilishwa na jaji warioba bungeni,wamesema wajumbe wa tume waheshimiwe kwakua taasisi zote,mtu mmoja mmoja na makundi mbali mbali ya kijamii yalipata nafasi kupeleka maoni yao mbele ya tume ya warioba,hivyo wanapashwa kuheshimu rasimu hiyo iliyo beba maoni ya wananchi hakuna haja ya wakuidharau tume iliyo undwa na watu makini na wanao heshimika katika taifa letu
Endelea kutembelea katemimethsela.blospot.com kupata taarifa mbalimbali kuhusiana na mchakato wa katiba mpya
0 comments:
Post a Comment