Wasanii wamchana Diamond kutokuhudhuria misiba ya wenzake.
Wasanii wa sinema na Bongo Fleva wamemchana vibaya staa wa muziki wa
kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwamba si mtokaji kwenye misiba ya
wenzake
Wakizungumza na Amani kwenye maziko ya baba mzazi wa Mbongo Fleva…Read More
DULLY SYKES-WASANII WANA ROHO ZA CHUKI
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes, ameshangazwa na kitendo
cha wasanii wengi kutojitokeza katika mazishi ya baba yake mzazi, Ebby
Sykes
“Nilitegemea kwakuwa tunampumzisha baba yangu hapa hapa
Dar es Sala…Read More
BAADA YA LADY JAYDEE KUFUNGUKA YA MOYONI MUMEWE AOMBA USHAURI
Baada ya Lady Jaydee kufunguka ya moyoni dhidi ya mumewe,mumewe aomba
ushauri kwa ndugu na jamaa kama anaweza kujibu shutuma zilizoelekezwa
upande wake.
"Ndugu zangu na jamaa zangu nawauliza nimjibu au nisimjibu huyo a…Read More
0 comments:
Post a Comment