Facebook

Tuesday, 15 April 2014

LAMBORGINI NA FERRARI NI MAGARI YA KUFANYIA DORIA DUBAI






Amini Usiamini hii ni kufuru ya mwaka baada ya kujulikana kwamba magari yenye  gharama kubwa duniani aina ya Ferrari na Lamborgini yanatumika kama magari ya Doria huko Dubai

    Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kujua vioja mbalimbali vinavyofanyika duniani

0 comments:

Post a Comment