Facebook

Friday, 25 April 2014

Taarifa rasmi kuhusu albamu mpya ya Michael Jackson.....................................


 
Ikiwa Imepita kama Mwezi mmoja toka taarifa kuwa kuna album ya Mpya ya Michael Jackson inaandaliwa itakayoitwa Xscape, Kwa sasa imetolewa taarifa rasmi kwamba album hiyo ipo tayari na itaachiwa Mei 13, 2014

Album hiyo imetengenezwa na Producer na Mwanamuziki Mkubwa Timberland akishirikiana na Rodney Jerkins.
Habari inasema Album hiyo itakuwa na Nyimbo Nane...Love never felt so Good, Chicago, Loving you , A place with no Name, Slave to the Rythm, Do you know where your Children are , Blue Gangstar na Xscape.....

Kaaa Tayari

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment