Jeshi
la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia abiria wa tatu waliokuwa
wakisafiri na Basi la New Force kutoka Kahama kuelekea Jijini Dar es
Salaam.Kwa Mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime,
wamekamatwa leo mchana wakiwa wanasafirisha Debe ishirini za
bangi.Wanaoshikiliwa ni Kevin Prospar(aliyekaa pichani kulia),Joseph
Charles (aliyekaa kulia) na John Joseph(aliye kaa katikati)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime kushoto akikagua bangi iliyo kamatwa.
Basi
la New Force lililokamatwa likiwa limebeba abiria waliokuwa na bangi
likiwalimeshililiwa kwa muda Makao ya Polisi Mkoa wa Dodoma.
0 comments:
Post a Comment