Mwanasoka
bora wa dunia, Cristiano Ronaldo akiwa ameshika Kombe la Mfalme usiku
wa kuamkia leo baada ya timu yake, Real Madrid kuifunga Barcelona Uwanja
wa Mestalla mjini Valencia katika fainali. Ronaldo hakucheza mechi hiyo kwa sababu ya
majeruhi.
Ronaldo
akimpongeza mfungaji wa bao la ushindi la Real Madrid , Gareth Bale katikati
pamoja na kocha Msaidizi, Zinedine Zidane (kushoto).
Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti akiwa amebebwa juu na wachezaji wake.
Bale akiwa ameruka juu kushangilia baada ya kufunga bao la ushindi.
Kipa wa Real Madrid, Iker Casillas akiwa ameshika taji la Copa del Rey.
Wafalme: Wachezaji wa Real Madrid wakiwa katika picha ya pamoja na taji.
Gareth Bale (kushoto) na Luka Modric wakishangilia na taji la Copa del Rey.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari mbalimbali za michezo hususan soka kwa wakati muafaka na zenye uhakika zaidi.
0 comments:
Post a Comment