Facebook

Friday 18 April 2014

Jifunze:Yafahamu Madhara Yatokanayo na Uvutaji wa Sigara

            HATARI KWA WATU WOTE WANAOVUTA SIGARA

Kwa picha hii unaweza kuona upande wa kushoto mapafu ya mtu ambaye havuti sigara,na kwa upande wa kulia unaweza kuona mapafu ya mtu ambaye anavuta sigara...Nawakumbusha tu ndugu zangu kuwa sigara ni hatari kwa afya ya mwanadamu.                                      

0 comments:

Post a Comment