Facebook

Saturday, 19 April 2014

Kiingilio cha chini Simba Vs Yanga Tsh.7000/=...fuatilia hapa.....


Viingilio sahihi za mechi ya watani kati ya Yanga dhidi ya Simba ni hivi vifuatavyo.


Sh 7,000 kwa viti vya bluu na kijani, Sh 10,000 viti vya rangi ya chungwa, Sh 20,000 kwa VIP C na B wakati VIP A itakuwa Sh 30,000.

Awali ilielezwa kiingilio cha chini kabida ni Sh 5,000. Lakini sahihi ni Sh 7,000.


  Tembelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari za michezo kwa wakati sahihi 

0 comments:

Post a Comment