Facebook

Monday, 21 April 2014

Muziki wa bongo waanza kupiga hatua,video ya Izzo B yachezwa Channel O.........fuatilia hapa.........!!!!!!


 
Harakati za kuuvusha muziki wa Tanzania nje ya mipaka ya Tanzania ni pamoja na kupata airtime kwenye vituo vya kimataifa ambapo Channel O ni kituo mojawapo kati ya vituo vinavyoaminika kwa kusambaza upendo na kuonyesha wanachofanya Waafrika.
Imekua ni sherehe au furaha kubwa sana pale Mtanzania anapopata nafasi ya video yake kuchezwa Channel O ambapo baada ya Weusi na yao ya ‘nje ya box’ sasa ni staa kutoka 87.8 Mbeya ndio anaichukua headline.



0 comments:

Post a Comment