Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Sunday, 31 January 2016

ARSENE WENGER AWANASA MAKINDA WAWILI KUTOKA NIGERIA.

Klabu ya Arsenal iko katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa wachezaji wawili kutokea nchini Nigeria, Kelechi Nwakali na Samuel Chukwueze ambao walipelekwa katika Jiji la London na mchezaji lijendari wa Klabu ya Arsenal,Nwanko Kanu na kukutana na bosi wa Klabu hiyo Mzee Arsene Wenger - www.bantuz.com ...

Saturday, 30 January 2016

Chelsea yakamilisha usajili wa beki 'kisiki' kutoka Marekani.

Klabu ya Chelsea imethibitisha kunasa saini ya beki wa kati Matt Miazga kutoka klabu ya New York Red Bulls inayoshiriki Ligi Kuu Nchini Marekani. Matt Miazga amesaini mkataba wa miaka minne na nusu huku ada ya uhamisho ikiwa haijawekwa wazi. Huu ni usajili wa pili katika Klabu ya Chelsea mara baada...

Friday, 29 January 2016

Mbwana Samatta asajiliwa rasmi na klabu ya KRC GENK ya nchini Ubelgiji.

Mshambuliaji hatari Mbwana Ally Samatta 'Popa' ambaye aliibuka mfungaji bora katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika na kisha kujinyakulia Tuzo ya Mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza Afrika.Amekamilisha usajili wake akitokea klabu ya TP Mazembe ya nchinI DR Congo. Dili la Sammata...

Tuesday, 26 January 2016

Tetesi zote za Usajili wa wachezaji barani Ulaya siku ya Leo Jumanne,26.

Meneja wa Manchester United Louis van Gaal, alikuwa tayari kujiuzulu siku ya Jumamosi baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Southampton, lakini akabembelezwa asifanye hivyo na makamu mwenyekiti wa klabu hiyo Ed Woodward (Sun), Van Gaal ambaye amekwenda Uholanzi kwenye sherehe ya kuadhimisha kuzaliwa kwa...

TAKUKURU: Kesi ya Ukwepaji Kodi ya LAKE OIL mtuhumiwa amepewa miezi miwili kurejesha Kwa umma Bilioni 8.5!

TAKUKURU: Kesi ya Ukwepaji Kodi ya LAKE OIL mtuhumiwa amepewa miezi miwili kurejesha Kwa umma Bilioni 8.5! ...

KLABU YA MARSEILLE YAPELEKA OFA KWA MBWANA SAMATTA.

Klabu ya Olympique Marseille inayoshiriki Ligi kuu Nchini Ufarasansa (Ligue 1) imeripotiwa kupeleka ofa kwa klabu ya TP Mazembe kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji hatari Mbwana Samatta ambaye alinyakua tuzo mchezaji bora wa ndani wa Afrika mwezi uliopita. Katika hali ya sintofahamu iliripotiwa Samatta...

Wema,Idris watarajia kupata mtoto.Waamua kuweka uhusiano wao wazi.

Kulingana na ujumbe uliochapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram na mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Big Brother Idris Sultan,Wema sio tu eti keshapata mchumba ila pia ashapata uja uzito! Muigizaji huyo maarafu wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu aligonga vichwa vya habari...

Ramires kutimkia China.

Kiungo wa kimataifa wa Brazil na klabu ya soka Chelsea Ramires Santos do Nascimento anakaribia kujiunga na timu ya Jiangsu Suning ya China.Kiungo huyu mwenye miaka 28 alisajiliwa na Chelsea toka Benfica, mwaka 2010 kwa pauni la pauni milion 17 na inatarajiwa timu hiyo inayocheza ligi kuu ya china iko...

Rais wa Russia,Vladmir Putin atuhumiwa na Marekani 'kula Rushwa'

Wizara ya Fedha ya Marekani imesema kuwa rais wa Urusi Vladmir Putini anakula rushwa.Tayari serikali ya Marekani imeshawawekea vikwazo wasaidizi wa rais Putin na inaonekana ni mara ya kwanza kwa kumhusisha moja kwa moja rais huyo na rushwa. Msemaji wa wa rais huyo Urusi amesema kuwa hakuna maswali jambo...

Monday, 25 January 2016

Rais Dkt. J.P Magufuli 'atumbua majipu' Mamlaka ya Vitambulisho vya taifa.

Rais Magufuli ameamuru kurudi nyumbani mabalozi sita haraka akiwemo Dr Batilda Buriani, Dr James Nsekela wa Italia na Peter Kalaghe wa Uingereza Pia Mkurugenzi mkuu wa NIDA Bw Mwaimu amesimamishwa kazi kuanzia sasa. Akitangaza hatua hiyo, Katibu mkuu kiongozi Ombeni sefue amesema Batilda na mabalozi...

Hizi ni tetesi zote za Usajili wa wachezaji barani Ulaya siku ya leo J'Tatu.

Meneja wa Manchester United Louis van Gaal, 64, anakaribia kujiuzulu baada ya kukiri kuwa amewaangusha mashabiki (Sun), Van Gaal atakuwa na mazungumzo na makamu mwenyekiti wa United Ed Woodard kujadili jinsi ya kukatisha mkataba wake unaokwenda hadi mwaka 2017 (Star), Woodward amezungumza na wachezaji wakuu...

Matokeo ya Mechi zote za Soka Jana J'Pili 25 katika Ligi Mbalimbali barani Ulaya.

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAPILI 24/01/2016 ★Barclays Premier League Everton 1-2 Swansea City Arsenal 0-1 Chelsea ★Spanish Primera División Athletic Bilbao 5-2 Eibar Atletico Madrid 0-0 Sevilla FC Deportivo La Coruña 1-1 Valencia Real Betis 1-1 Real Madrid ★German Bundesliga Eintracht Frankfurt 3-2 VfL...

Sunday, 24 January 2016

Ratiba ya Mechi zote za Soka leo Jumapili 24,Katika Ligi Mbalimbali barani Ulaya.

RATIBA YA SOKA LEO JUMAPILI 24/01/2016 ★Barclays Premier League 4:30 PM - Everton vs Swansea City 7:00 PM - Arsenal vs Chelsea ★Spanish Primera División 2:00 PM - Athletic Bilbao vs Eibar 6:00 PM - Atletico Madrid vs Sevilla FC 8:15 PM - Deportivo La Coruña vs Valencia 10:30 PM - Real Betis vs Real...

Matokeo ya Mechi zote za Jana Jumamosi,23 katika Ligi Mbalimbali barani Ulaya.

★Barclays Premier League Norwich City 4-5 Liverpool Crystal Palace 1-3 Tottenham Hotspur Leicester City 3-0 Stoke City Manchester United 0-1 Southampton Sunderland 1-1 AFC Bournemouth Watford 2-1 Newcastle United West Bromwich Albion 0-0 Aston Villa West Ham United 2-2 Manchester City ★Spanish Primera...

Saturday, 23 January 2016

Chicharito Mchezaji Bora Amerika ya Kaskazini.

Hernandez ‘Chicharito’ ametwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka 2015 kwa Kanda ya Kisoka ya CONCACAF inayojumuisha Nchi za Marekani ya Kati na Kaskazini pamoja na Visiwa vya Carribean. Tuzo hiyo imetokana na Kura za Makocha na Manahodha wa Timu za Taifa pamoja na Wanahabari maalum na Mashabiki. Baada...

TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA: NEYMAR, TEIXEIRA, MESSI, WENGER, ADEBAYOR, BERAHINO, KLOPP, THIAGO SILVA, PETR CECH

Manchester United na Manchester City watashindana kuipigania saini ya mshambuliaji wa Barcelona Neymar, 23 (Chanzo Gazzetta) United wanakaribia pia kumpata kiungo wa Benifica Renato Sanches, 18, na wanategemewa kulipa paundi millioni 30. (Chanzo Daily Mail) Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero...

Man United yakaribia kunasa saini ya kiungo chipukizi Renato Sanchez.

Klabu ya Manchester United inakaribia kunasa saini ya kiungo Chipukizi mwenye miaka 18,Mreno Renato Sanchez anayekipiga katika klabu ya Benfica. Kiungo huyo ameshafunga magoli mawili katika mechi 13 tangia alipopandishwa kutoka timu ya vijana ya Benfica. Viongozi wa Manchester United walikutana na wawakilishi...

Ratiba ya Soka ligi mbalimbali barani Ulaya Leo Jumamosi.

RATIBA YA SOKA LEO JUMAMOSI 23/01/2016 ★Barclays Premier League 3:45 PM - Norwich City vs Liverpool 6:00 PM - Crystal Palace vs Tottenham Hotspur 6:00 PM - Leicester City vs Stoke City 6:00 PM - Manchester United vs Southampton 6:00 PM - Sunderland vs AFC Bournemouth 6:00 PM - Watford vs Newcastle United 6:00...

Friday, 22 January 2016

Klabu ya Liverpool yakaribia kuinasa saini ya Mshambuliaji hatari Teixeira.

Liverpool inamuandama mshambuliaji wa Shakhtar Donetsk Alex Teixeira huku Jurgen Klopp akijaribu kufanya usajili wa kwanza tangu alipokuwa mkufunzi wa Anfield.The Reds kama wanavyojiita wako tayari kulipa pauni milioni 24.5 kwa saini ya mchezaji huyo wa miaka 26. Hatahivyo kilabu hiyo ya Ukraine inasema...

Manchester United itakuja kuwa klabu namba 1 duniani kwa utajiri ifikapo 2017 na kuipiku Real Madrid.

Klabu ya Manchester United huenda ikawa klabu itakayokuwa ikipokea pesa nyingi zaidi duniani katika kipindi cha miezi 12 ijayo. Kwa mujibu wa orodha ya mapato ya klabu iliyotayarishwa na kampuni ya Deloitte, miamba wa Uhispania Real Madrid kwa sasa wanaongoza kwa mwaka wa 11 mtawalia. Klabu hiyo ilipata...

Wednesday, 20 January 2016

Matokeo ya Michezo Mbalimbali ya Soka iliyopigwa hapo Jana Barani Ulaya.

MATOKEO YA SOKA JANA JUMANNE 19/01/2016 ★English FA Cup Aston Villa 2-0 Wycombe Wanderers Bradford City 0-0 Bury (Bury won in Shoot-out) Bristol City 0-1 West Bromwich Albion Milton Keynes Dons 3-0 Northampton Town Portsmouth 2-1 Ipswich Town Yeovil Town 1-1 Carlisle United (Carlisle won inbShoot-out) Bolton...

Ratiba ya Michezo Mbalimbali ya soka Barani Ulaya leo Jumatano

RATIBA YA SOKA LEO JUMATANO 20/01/2016 ★English FA Cup 3rd Round Replay 10:45 PM - Leicester City vs Tottenham Hotspur 11:00 PM - Liverpool vs Exeter City ★Spanish Copa del Rey 10:30 PM - Celta Vigo vs Atletico Madrid 11:00 PM - Athletic Bilbao vs Barcelona ★Italian Serie A 10:45 PM - Sassuolo vs Torino ★French...

Taarifa kwa Umma Kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa kuhusiana na mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha Nchini.

...

Monday, 18 January 2016

Real Madrid,Barcelona zapeta ligi Kuu Hispania kwa ushindi mnono.

Klabu ya soka ya Real Madrid imefanikiwa kuizamisha Sporting Gijon katika mwendelezo wa ligi kuu ya Hispania kufuatia ushindi mnono wa mabao 5-1 ambayo yamefungwa na wachezaji Gareth Bale bao 1 , Chirstiano Ronaldo mabao 2 pamoja na Karem Benzema akifunga mabao 2. Na klabu ya Barcelona imekwea hadi nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo kufuatia ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Althltic Bilbao,mabao...

Man United yapata ushindi mwembamba nyumbani kwa Liverpool.

Wayne Rooney alifunga bao lake la kwanza katika uwanja wa Anfield tangu mwaka 2005 na kuiwezesha timu yake kupanda katika msimamo wa ligi ya Uingereza. Liverpool ilitawala mchezo huo huku mkwaju wa Emre Can ukipanguliwa na kipa David De Gea.Lakini Liverpool walilazimika kulipa makosa yao wakati Wayne...

Matokeo ya Soka katika Ligi mbalimbali barani Ulaya kwa Michezo ya Jana.

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAPILI 17/01/2016: ••Barclays Premier League Liverpool 0-1 Manchester United Stoke City 0-0 Arsenal ••Spanish Primera División Valencia 2-2 Rayo Vallecano Real Madrid 5-1 Sporting Gijon Getafe 3-1 Espanyol Las Palmas 0-3 Atletico Madrid Barcelona 6-0 Athletic Bilbao ••Italian...

Serikali yatoa ratiba mkutano wa Wazalishaji Umeme Wazalendo.

WAZALISHAJI UMEME WAZALENDO  Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM, Jumatatu, 18-1-2016: WIZARA ya Nishati na Madini imeandaa mkutano wa wazalishaji umeme wazalendo unaotarajiwa kufanyika jijini Dar. "Wizara itatoa ratiba kwa makampuni ya wazalendo kuja kutoa mapendekezo ya miradi yao tarehe 15-17 February...

Sunday, 17 January 2016

Serikali yalifungia gazeti la 'Mawio'.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeamua kulifuta kutoka katika Daftari la usajili wa magazeti, gazeti lijulikanalo kama “MAWIO”.Amri ya kulifuta Gazeti hilo imetolewa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye wakati alipokutana na Waandishi wa Habari katika Ukumbi...

WAZANZIBARI MNALIJUA HILI KUHUSU MAALIM SEIF?

Na Bollen Ngetti Kuna baadhi ya wasomaji wa maandiko yangu wameendelea kunilaani na kudai ninamshambulia Maalim Seif na huenda nina chuki binafsi na mwanasiasa huyo wa Z'bar. Wengine wameenda mbali na kudai ninatumika! Ninachojua ni kwamba unaweza kumzuia ndege asitue juu ya kichwa chako lakini kamwe huwezi kumchagulia pa kujenga kiota chake. Sina chuki na Seif, situmiki maana si hulka yangu. Tatizo...