Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Tuesday, 6 October 2015

Dk J.P Magufuli: Ningemuombea kura Dk Slaa kama angegombea ubunge

Magufuli akihutubia Wananchi katika moja ya milutano ya kampeni ya chama hicho. Picha na Maktaba Karatu/Zanzibar. Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli jana aliwahutubia mamia ya wakazi wa Karatu na kummwagia sifa aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kuwa...

Lowassa:Sina tena rafiki CCM

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa Monduli. Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amesema hana rafiki yeyote CCM kwani yeye tayari alishapakia basi la Chadema. Lowassa amesema ingawa aliwahi kumshauri mgombea ubunge wa jimbo la Monduli kwa tiketi ya CCM, Namelock Sokoine agombee...

Majaji 7 wasimamishwa kazi kwa Ufusadi Ghana.

Majaji saba wa mahakama ya juu nchi Ghana kati ya 12 wamesimamishwa kazi kwa mda kufuatia madai ya kuhusika katika ufisadi. Mwezi uliopita majaji wengine 22 wa ngazi za chini walisimamishwa kazi baada ya filamu moja kuwaonyesha wakichukua hongo kutoka kwa wateja ili wapate kupendelewa katika kesi. Filamu...

Kampuni ya Mercedes yatengeneza Malori yanayojiendesha.

Amini usiamini huku watu wengi Afrika Mashariki wakilazimika kulipa mabilioni ya shilingi ilikujifunza kuendesha magari,teknolojia sasa imepiga hatua moja zaidi. Mwanzo ilikuwa ni magari madogo sasa kampuni ya kutengeneza magari ya kifahari Daimler Mercedes-Benz imezindua lori linalojiendesha lenyewe! Mkurugenzi...

Facebook kuanzisha Satellite yao.

Kampuni ya Facebook imetangaza kuwa itaanzisha mtandao wa satelite ili kutoa huduma za internet kwenye maeneo yaliyo mashambani barani Afrika. Kwa ushirikiano na kampuni ya Eutelsat, iliyo Ufaransa, Facebook wanatumainia kuwa mtambo wa kwanza wa satelite utakuwa tayari kuzinduliwa mwaka ujao. Baadhi...

Watu zaidi ya 60 wauawa kwa Bomu Iraq

Bomu lililotegwa ndani ya gari limelipuka na kuwauwa zaidi ya watu sitini nchini Iraq,katika jimbo la Mashariki la Diyala.bomu hilo lililenga mtaa wa kibishara ambapo zaidi ya watu arobaini walifariki huku pia zaidi ya hamsini kujeruhiwa. Shambulio jingine lilitokea katika mji wa kusini mwa Basra,ambao...

Monday, 5 October 2015

MAONI NA POLE MITANDAONI-KIFO CHA MCH. MTIKILA!

-Mwigulu Nchemba. Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha mwanasiasa nguli Mch. Christopher Mtikila. Tumepata pigo kama taifa, tuungane kumuombea apumzike kwa amani. -Malisa Godlisten. Buriani Mch. Mtikila. Hatima ya maisha yetu ipo mikononi mwa Mungu pekee. Tusiwadhihaki wagonjwa bali tuwaombee maana...

Sunday, 4 October 2015

NA AYOS MATA MAESTRO:-KUELEKEA DIMBA LA EMIRATES (ARSENAL VS MANCHESTER UNITED)

Na: Ayoub Hinjo Arsenal dhidi ya Manchester United ni mechi yenye hisia kali na msisimko usiolezeka. Ni mechi ya kihistoria sababu hizi ni timu mbili kubwa na zina mashabiki wengi duniani kote. Ni wapinzani kweli kweli iwe ndani au nje ya uwanja,mafanikio yao ni kielelezo tosha kuonyesha hawa ni wapinzani...

Mwanasiasa mkongwe, Mchungaji Christopher Mtikila afariki dunia kwa ajali ya gari asubuhi ya leo.

Mwanasiasa mkongwe, Mwenyekiti wa chama cha kisiasa cha DP na Mtumishi wa Mungu, Mchungaji Christopher Mtikila amefariki kwenye ajali ya gari asubuhi ya leo. Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani, Jafari Mohamed, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa "Taarifa za mwanzo" zinasema amefariki saa...

Saturday, 3 October 2015

UCHAMBUZI YAKINIFU DERBY KUBWA SITA WIKEND HII,EPL,BUNDESLIGA,LIGUE 1,LA-LIGA NA EREDIVISIE

Kwa mara nyingine tena tunakutana katika anga hili la soka lenye kila radha na kachumbari yenye mchanganyiko wa kipekee. Najua gumzo kubwa katika medali ya soka la kibongo ni sakata la Nyosso ambapo naona kuna wachambuzi wanajitaftia ushujaa wa kijinga kupitia hili swala ila pia kumbuka jambo jingine...