Facebook

Thursday, 17 April 2014

Diamond asubiri kwa hamu tuzo za MTV Africa Music Awards.....fuatilia hapa



  Majina ya wasanii wa Afrika watakao kuwa kwenye kinyang'anyiro cha MTV Africa music awards kwa mwaka 2014 yametoka huku wasanii Mafikizolo,Uhuru na Davido wakiongoza kwa kupata nomination 4.
Watanzania wapo kwenye vipengele vitatu na moja ya vipengele hivyo vinasubiliwa kwa hamu kumjua mshindi kwa sababu ni moja ya vipengele vikubwa kwenye awards hizo.Huku Diamond akiwa amechaguliwa kwenye category mbili

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kujua kitakachojiri katika tuzo hizo kwa wakati muafaka bila zengwe

0 comments:

Post a Comment