Facebook

Friday, 18 April 2014

Ijue Orodha Mpya Ya Wasanii Wa HipHop Wanaoongoza kwa Utajiri Duniani.....soma hapa......




 Orodha ya wasanii wa HipHop wanaoongoza kwa utajiri duniani imetolewa hii leo huku pakiwa hakuna mabadiliko katika orodha hiyo kwa sababu hakuna aliyepanda wala kushuka katika nafasi zao .....angalia hapa 
 
  1.  P.DIDDY (DIRTY MONEY)  
 
Inawezekana akawa msanii wa kwanza wa hiphop kuwa billionea kwenye miaka michache ijayo kutokana na kasi yake ya kuingiza pesa nyingi na uwekezaji wenye faida.Vilevile  kutokana na mkataba wake mpya na kampuni ya Diageo ambapo bado anahusika na usimamizi wa brand ya Ciroc lakini pia DeLeon Tequila imeongezeka na kuongeza mapato kwake. Revolt TV anayomiliki P Diddy ambayo imeanza kwa kasi kubwa ndiyo biashara  inayosemekana kuwa inaweza kumfanya Diddy kubwa bilionea wa kwanza kwenye HipHop.

Mwaka jana alikuwa na utajari wa dola millioni 580 lakini ndani ya mwaka mmoja ameingiza dola millioni 120 na kufanya utajiri wake kuwa na jumla ya dola za kimarekani millioni 700.
  
 
2.DR.DRE
 

Namba mbili ni ya producer na msanii Dr Dre ambaye ana utajiri wa dola za kimarekani millioni 550.
 
 
3.JAY Z
Namba tatu inaenda kwa Jay Z utajiri wake ni dola za kimarekani millioni 520.
 
 
4.BIRDMAN
Namba nne ni ya boss wa YMCMB ‘Birdman’ utajiri wake ni dola za kimarakani millioni 160.
 
 
 
5.50 CENT

Namba tano inamilikiwa na 50 Cent ambaye utajiri wake ni dola za kimarekani millioni 140.
 
 
 
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata taarifa mbalimbali zinazohusiana na wasanii kwa wakati muafaka

0 comments:

Post a Comment