Facebook

Tuesday, 15 April 2014

ORODHA MPYA YA VILABU KUMI TAJIRI DUNIANI


 
Imekuwa kawaida kila baada ya kipindi fulani hususan mwezi, Jarida la Marekani liitwalo Forbes hutoa orodha ya vilabu vinavyoongoza kwa utajiri duniani limeitaja klabu ya Real Madrid kuwa na thamani ya  €3.3 billion, huku klabu ya Manchester United ikishika nafasi ya pili ikiwa na thamani ya €3.16 billion.
Katika orodha ya vilabu 10 bora duniani idadi kubwa vinatoka Ligi Kuu Ya Uingereza, huku vilabu vilivyoibuka siku  za hivi karibuni kutoka Ufaransa Monaco na PSG havikutajwa kwenye orodha hiyo..................


VILABU KUMI TAJIRI DUNIANI

1) Real Madrid CF: €3.3 billion

2) Mnachester United FC : €3.16 billion

3) FC Barcelona: €2.6 billion

4) Arsenal: €1.32 billion

5) FC Bayern Munich: €1.3 billion

6) AC Milan: €940 million

7) Chelsea FC: €900 million

8) Juventus: €690 million

9) Manchester City: €680 million

10) Liverpool FC: €650 million

0 comments:

Post a Comment