Facebook

Friday 18 April 2014

Rais Kikwete akerwa na Wanasiasa kumtukana Mwalimu J.K.Nyerere...soma hapa barua aliyoiandika..........


Rais Kikwete akerwa na kitendo cha wanasiasa kumtukana muasisi wa Taifa hili Mwalimu Nyerere....Asema ni utovu wa nidhamu kuwatukana waasisi wa Tanzania hususan Mwalimu J.K Nyerere na Sheikh Abeid Aman Kurume

0 comments:

Post a Comment