Facebook

Thursday, 24 April 2014

Nicolas Cage atoa bonge la movie usikose kuiangalia Century Cinemax....


cage 

Ratiba ya movie za wiki hii inahusisha movie ya Frozen Ground ambayo star Nicolas Cage amehusika kwenye hiyo movie, kutoka kwa waandaaji wa movie hii ni kwamba imetengenezwa kutokana na story ya kweli.
Cheki na ratiba ya movie nyingine kwenye ratiba tofauti.

1
2
3
w


Related Posts:

0 comments:

Post a Comment