Haji Manara-Afisa habari Simba SC
Waungwana kila uchwao kwenye jiji hili na viunga vyake sambamba na maeneo mengi ya nchi, kuna neno wa ‘kimataifa’ hulisikia likiimbwa.
Waimbaji wakuu wa neno hilo ni mashabiki wa Yanga wakiongozwa na mpiga zumari wao aliyeacha kazi yake na kujigeuza muimbaji.
Kinyume chake hilo neno klabu ya Simba huitwa wa ‘mchangani’ au wa ‘matopeni’. Wengi wananilaumu kuwa kwa...
-
Tutorial 1
This is Trial
-
Tutorial 2
This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...
-
Tutorial 3
This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...
Saturday, 12 March 2016
Friday, 11 March 2016
Hawa ndio Mawaziri wa Rais Dkt Magufuli waliopewa kibali cha kusafiri Nje ya Nchi.
Rais John Magufuli ametoa kibali kwa Mawaziri wawili kusafiri nje ya nchi, wameruhusiwa kwenda nchini Vietnam kujifunza mbinu za kuinua kilimo na kujenga viwanda
-Mawaziri wawili waliopata kibali hicho ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemb...
Saturday, 6 February 2016
Ratiba ya Soka katika ligi mbalimbali barani Ulaya Leo Jumamosi.
RATIBA YA SOKA LEO JUMAMOSI 06/02/2016
★Barclays Premier League
3:45 PM - Manchester City vs Leicester City
6:00 PM - Aston Villa vs Norwich City
6:00 PM - Liverpool vs Sunderland
6:00 PM - Newcastle United vs West Bromwich Albion
6:00 PM - Stoke City vs Everton
6:00 PM - Swansea City vs Crystal Palace
6:00 PM - Tottenham Hotspur vs Watford
8:30 PM - Southampton vs West Ham United
★Spanish Primera...
Rosicky Nje miezi mitatu.

Kiungo wa kati wa kilabu ya Arsenal Tomas Rosicky hatochezea timu yake kwa kipindi cha miezi mitatu kutokana na jeraha.Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35 ambaye kandarasi yake inakamilika katika msimu wa joto,alipata jeraha jingine la paja wakati wa mechi dhidi ya Burnley siku ya jumamosi baada ya...
Friday, 5 February 2016
Hili ndilo Baraza la Mawaziri Vivuli lilikotajwa leo bungeni.
BARAZA KIVULI LA MAWAZIRI
1.Wizara ya Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na
Utawala Bora.
Mawaziri – Jaffar Michael
Naibu Waziri – Joseph Nkundi na Ruth Mollel
2.Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano
na Mazingira
Waziri – Ali Saleh Abdalla
Naibu Waziri – Pauline Gekul
3.Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana,
Ajira na Walemavu
Waziri – Esther Bulaya
Naibu – Yusuph Makame na Maftah Abdalla
4.Wizara...
Tuesday, 2 February 2016
Kiungo wa Manchester United ajiunga na Hull City.

Kiungo wa Klabu ya Manchester United,Nick Powell amejiunga na klabu ya Hull City baada ya kukosa nafasi katika klabu hiyo na atakuwa Hull City kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu kumalizika.
...
Manchester United,Arsenal zatuma ofa kwa Mshambuliaji wa PSG.

Vilabu vya Arsenal na Manchester United vyote vinashiriki ligi kuu nchini Uingereza vimeripotiwa kuangalia uwezekano wa kumsajili Mshambuliaji hatari Edison Cavan ambaye hana furaha katika klabu ya PSG ya nchini Ufaransa.
Mshambuliaji huyo ambaye anapendelea zaidi kucheza nafasi ya ushambuliaji hana...
Monday, 1 February 2016
Beki wa Arsenal asajiliwa rasmi Bordeaux.

Klabu ya Arsenal imethibitisha mlinzi wake wa pembeni Mathieu Debuchy amejiunga na klabu ya Bordeaux kwa mkopo hadi mwisho wa msimu.
Huku taarifa za awali zinasema;Klabu ya Manchester United ilikuwa imetuma maombi kwa klabu ya Arsenal kuhitaji kuhitaji huduma ya mlinzi huyo lakini kocha wa Arsenal ameamua...
VALENCIA YANASA KIFAA KUTOKA REAL MADRID

Klabu ya Valencia inayonolewa na Muingereza,lijendari wa Manchester United Garry Neville imethibitisha kumnasa winga mshambuliaji wa Klabu ya Real Madrid; Denis Cheryshev kwa mkopo wa miezi sita.
-Bantu Sources.
...
Radamel Falcao kurejea Atlético Madrid.

Mshambuliaji wa Chelsea mwenye asili ya Colombia Radamel Falcao muda huu anasafiri kuelekea Spain kufanya makubaliano na Klabu yake ya zamani Atlético Madrid ili kuhamia katika Klabu hiyo.
Dili hilo likitarajiwa kukamilika kabla dirisha la usajili halijafungwa.Endelea kutembelea www.bantuz.com kwa taarifa...
NEWCASTLE UNITED YAPELEKA DAU KWA BERAHINO.

Klabu ya Newcastle United ambayo inaonekana kufanya usajili wa kutisha katika dirisha hili muda huu imetuma maombi na dau la £24ml katika klabu ya West Brom kumsajili mshambuliaji hatari Saido Berahino.
-Bantu Sources.
...
MAN UNITED YARUSHA 'NDOANO' KWA IGHALO.

Klabu ya Manchester United imewasilisha maombi kwa klabu ya Watford kumsajili mshambuliaji wao hatari Odion Ighalo kabla dirisha la Usajili halijafungwa.
-Bantu Sources.
...
Bayern Munich yamsajili Serdar Tasci kutoka Spartak Moscow
Klabu ya Bayern Munich imemsajili Serdar Tasci kutoka klabu ya Spartak Moscow inayoshiriki ligi Kuu nchini Urusi kwa mkopo uliogharimu €2.5m kukiwa na kipengele cha kumnunua jumla kwa €10m.
-Bantu Sourc...
Klabu ya Hannover 96 yanasa kifaa kutoka Besiktas.

Klabu ya Hannover 96 inayoshriki Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) imethibitisha kumsajili Alexander Milošević kwa mkopo kutoka Besiktas huku katika mkataba kuna kipengele cha kumnunua mkataba utakapomalizika.
-Bantu Sources.
...
Sunday, 31 January 2016
ARSENE WENGER AWANASA MAKINDA WAWILI KUTOKA NIGERIA.

Klabu ya Arsenal iko katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa wachezaji wawili kutokea nchini Nigeria, Kelechi Nwakali na Samuel Chukwueze ambao walipelekwa katika Jiji la London na mchezaji lijendari wa Klabu ya Arsenal,Nwanko Kanu na kukutana na bosi wa Klabu hiyo Mzee Arsene Wenger
- www.bantuz.com
...
Saturday, 30 January 2016
Chelsea yakamilisha usajili wa beki 'kisiki' kutoka Marekani.

Klabu ya Chelsea imethibitisha kunasa saini ya beki wa kati Matt Miazga kutoka klabu ya New York Red Bulls inayoshiriki Ligi Kuu Nchini Marekani. Matt Miazga amesaini mkataba wa miaka minne na nusu huku ada ya uhamisho ikiwa haijawekwa wazi.
Huu ni usajili wa pili katika Klabu ya Chelsea mara baada...
Friday, 29 January 2016
Mbwana Samatta asajiliwa rasmi na klabu ya KRC GENK ya nchini Ubelgiji.

Mshambuliaji hatari Mbwana Ally Samatta 'Popa' ambaye aliibuka mfungaji bora katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika na kisha kujinyakulia Tuzo ya Mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza Afrika.Amekamilisha usajili wake akitokea klabu ya TP Mazembe ya nchinI DR Congo.
Dili la Sammata...
Tuesday, 26 January 2016
Tetesi zote za Usajili wa wachezaji barani Ulaya siku ya Leo Jumanne,26.

Meneja wa Manchester United Louis van Gaal, alikuwa tayari kujiuzulu siku ya Jumamosi baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Southampton, lakini akabembelezwa asifanye hivyo na makamu mwenyekiti wa klabu hiyo Ed Woodward (Sun),
Van Gaal ambaye amekwenda Uholanzi kwenye sherehe ya kuadhimisha kuzaliwa kwa...
TAKUKURU: Kesi ya Ukwepaji Kodi ya LAKE OIL mtuhumiwa amepewa miezi miwili kurejesha Kwa umma Bilioni 8.5!

TAKUKURU: Kesi ya Ukwepaji Kodi ya LAKE OIL mtuhumiwa amepewa miezi miwili kurejesha Kwa umma Bilioni 8.5!
...
KLABU YA MARSEILLE YAPELEKA OFA KWA MBWANA SAMATTA.

Klabu ya Olympique Marseille inayoshiriki Ligi kuu Nchini Ufarasansa (Ligue 1) imeripotiwa kupeleka ofa kwa klabu ya TP Mazembe kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji hatari Mbwana Samatta ambaye alinyakua tuzo mchezaji bora wa ndani wa Afrika mwezi uliopita.
Katika hali ya sintofahamu iliripotiwa Samatta...
Wema,Idris watarajia kupata mtoto.Waamua kuweka uhusiano wao wazi.

Kulingana na ujumbe uliochapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram na mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Big Brother Idris Sultan,Wema sio tu eti keshapata mchumba ila pia ashapata uja uzito!
Muigizaji huyo maarafu wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu aligonga vichwa vya habari...
Ramires kutimkia China.

Kiungo wa kimataifa wa Brazil na klabu ya soka Chelsea Ramires Santos do Nascimento anakaribia kujiunga na timu ya Jiangsu Suning ya China.Kiungo huyu mwenye miaka 28 alisajiliwa na Chelsea toka Benfica, mwaka 2010 kwa pauni la pauni milion 17 na inatarajiwa timu hiyo inayocheza ligi kuu ya china iko...
Rais wa Russia,Vladmir Putin atuhumiwa na Marekani 'kula Rushwa'

Wizara ya Fedha ya Marekani imesema kuwa rais wa Urusi Vladmir Putini anakula rushwa.Tayari serikali ya Marekani imeshawawekea vikwazo wasaidizi wa rais Putin na inaonekana ni mara ya kwanza kwa kumhusisha moja kwa moja rais huyo na rushwa.
Msemaji wa wa rais huyo Urusi amesema kuwa hakuna maswali jambo...
Monday, 25 January 2016
Rais Dkt. J.P Magufuli 'atumbua majipu' Mamlaka ya Vitambulisho vya taifa.

Rais Magufuli ameamuru kurudi nyumbani mabalozi sita haraka akiwemo Dr Batilda Buriani, Dr James Nsekela wa Italia na Peter Kalaghe wa Uingereza
Pia Mkurugenzi mkuu wa NIDA Bw Mwaimu amesimamishwa kazi kuanzia sasa.
Akitangaza hatua hiyo, Katibu mkuu kiongozi Ombeni sefue amesema Batilda na mabalozi...
Hizi ni tetesi zote za Usajili wa wachezaji barani Ulaya siku ya leo J'Tatu.

Meneja wa Manchester United Louis van Gaal,
64, anakaribia kujiuzulu baada ya kukiri kuwa
amewaangusha mashabiki (Sun), Van Gaal
atakuwa na mazungumzo na makamu mwenyekiti wa United Ed Woodard kujadili jinsi ya kukatisha
mkataba wake unaokwenda hadi mwaka 2017
(Star), Woodward amezungumza na wachezaji
wakuu...
Matokeo ya Mechi zote za Soka Jana J'Pili 25 katika Ligi Mbalimbali barani Ulaya.

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAPILI 24/01/2016
★Barclays Premier League
Everton 1-2 Swansea City
Arsenal 0-1 Chelsea
★Spanish Primera División
Athletic Bilbao 5-2 Eibar
Atletico Madrid 0-0 Sevilla FC
Deportivo La Coruña 1-1 Valencia
Real Betis 1-1 Real Madrid
★German Bundesliga
Eintracht Frankfurt 3-2 VfL...
Sunday, 24 January 2016
Ratiba ya Mechi zote za Soka leo Jumapili 24,Katika Ligi Mbalimbali barani Ulaya.

RATIBA YA SOKA LEO JUMAPILI 24/01/2016
★Barclays Premier League
4:30 PM - Everton vs Swansea City
7:00 PM - Arsenal vs Chelsea
★Spanish Primera División
2:00 PM - Athletic Bilbao vs Eibar
6:00 PM - Atletico Madrid vs Sevilla FC
8:15 PM - Deportivo La Coruña vs Valencia
10:30 PM - Real Betis vs Real...
Matokeo ya Mechi zote za Jana Jumamosi,23 katika Ligi Mbalimbali barani Ulaya.

★Barclays Premier League
Norwich City 4-5 Liverpool
Crystal Palace 1-3 Tottenham Hotspur
Leicester City 3-0 Stoke City
Manchester United 0-1 Southampton
Sunderland 1-1 AFC Bournemouth
Watford 2-1 Newcastle United
West Bromwich Albion 0-0 Aston Villa
West Ham United 2-2 Manchester City
★Spanish Primera...
Saturday, 23 January 2016
Chicharito Mchezaji Bora Amerika ya Kaskazini.

Hernandez ‘Chicharito’ ametwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka 2015 kwa Kanda ya Kisoka ya CONCACAF inayojumuisha Nchi za Marekani ya Kati na Kaskazini pamoja na Visiwa vya Carribean.
Tuzo hiyo imetokana na Kura za Makocha na Manahodha wa Timu za Taifa pamoja na Wanahabari maalum na Mashabiki.
Baada...
TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA: NEYMAR, TEIXEIRA, MESSI, WENGER, ADEBAYOR, BERAHINO, KLOPP, THIAGO SILVA, PETR CECH

Manchester United na Manchester City watashindana kuipigania saini ya mshambuliaji wa Barcelona Neymar, 23 (Chanzo Gazzetta)
United wanakaribia pia kumpata kiungo wa Benifica Renato Sanches, 18, na wanategemewa kulipa paundi millioni 30. (Chanzo Daily Mail)
Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero...
Man United yakaribia kunasa saini ya kiungo chipukizi Renato Sanchez.

Klabu ya Manchester United inakaribia kunasa saini ya kiungo Chipukizi mwenye miaka 18,Mreno Renato Sanchez anayekipiga katika klabu ya Benfica.
Kiungo huyo ameshafunga magoli mawili katika mechi 13 tangia alipopandishwa kutoka timu ya vijana ya Benfica.
Viongozi wa Manchester United walikutana na wawakilishi...
Ratiba ya Soka ligi mbalimbali barani Ulaya Leo Jumamosi.

RATIBA YA SOKA LEO JUMAMOSI 23/01/2016
★Barclays Premier League
3:45 PM - Norwich City vs Liverpool
6:00 PM - Crystal Palace vs Tottenham Hotspur
6:00 PM - Leicester City vs Stoke City
6:00 PM - Manchester United vs Southampton
6:00 PM - Sunderland vs AFC Bournemouth
6:00 PM - Watford vs Newcastle United
6:00...
Friday, 22 January 2016
Klabu ya Liverpool yakaribia kuinasa saini ya Mshambuliaji hatari Teixeira.

Liverpool inamuandama mshambuliaji wa Shakhtar Donetsk Alex Teixeira huku Jurgen Klopp akijaribu kufanya usajili wa kwanza tangu alipokuwa mkufunzi wa Anfield.The Reds kama wanavyojiita wako tayari kulipa pauni milioni 24.5 kwa saini ya mchezaji huyo wa miaka 26.
Hatahivyo kilabu hiyo ya Ukraine inasema...
Manchester United itakuja kuwa klabu namba 1 duniani kwa utajiri ifikapo 2017 na kuipiku Real Madrid.

Klabu ya Manchester United huenda ikawa klabu itakayokuwa ikipokea pesa nyingi zaidi duniani katika kipindi cha miezi 12 ijayo.
Kwa mujibu wa orodha ya mapato ya klabu iliyotayarishwa na kampuni ya Deloitte, miamba wa Uhispania Real Madrid kwa sasa wanaongoza kwa mwaka wa 11 mtawalia.
Klabu hiyo ilipata...
Wednesday, 20 January 2016
Matokeo ya Michezo Mbalimbali ya Soka iliyopigwa hapo Jana Barani Ulaya.

MATOKEO YA SOKA JANA JUMANNE 19/01/2016
★English FA Cup
Aston Villa 2-0 Wycombe Wanderers
Bradford City 0-0 Bury (Bury won in Shoot-out)
Bristol City 0-1 West Bromwich Albion
Milton Keynes Dons 3-0 Northampton Town
Portsmouth 2-1 Ipswich Town
Yeovil Town 1-1 Carlisle United (Carlisle won inbShoot-out)
Bolton...
Ratiba ya Michezo Mbalimbali ya soka Barani Ulaya leo Jumatano

RATIBA YA SOKA LEO JUMATANO 20/01/2016
★English FA Cup 3rd Round Replay
10:45 PM - Leicester City vs Tottenham Hotspur
11:00 PM - Liverpool vs Exeter City
★Spanish Copa del Rey
10:30 PM - Celta Vigo vs Atletico Madrid
11:00 PM - Athletic Bilbao vs Barcelona
★Italian Serie A
10:45 PM - Sassuolo vs Torino
★French...
Monday, 18 January 2016
Real Madrid,Barcelona zapeta ligi Kuu Hispania kwa ushindi mnono.
Klabu ya soka ya Real Madrid imefanikiwa kuizamisha Sporting Gijon katika mwendelezo wa ligi kuu ya Hispania kufuatia ushindi mnono wa mabao 5-1 ambayo yamefungwa na wachezaji Gareth Bale bao 1 , Chirstiano Ronaldo mabao 2 pamoja na Karem Benzema akifunga mabao 2.
Na klabu ya Barcelona imekwea hadi nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo kufuatia ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Althltic Bilbao,mabao...
Man United yapata ushindi mwembamba nyumbani kwa Liverpool.

Wayne Rooney alifunga bao lake la kwanza katika uwanja wa Anfield tangu mwaka 2005 na kuiwezesha timu yake kupanda katika msimamo wa ligi ya Uingereza.
Liverpool ilitawala mchezo huo huku mkwaju wa Emre Can ukipanguliwa na kipa David De Gea.Lakini Liverpool walilazimika kulipa makosa yao wakati Wayne...
Matokeo ya Soka katika Ligi mbalimbali barani Ulaya kwa Michezo ya Jana.

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAPILI 17/01/2016:
••Barclays Premier League
Liverpool 0-1 Manchester United
Stoke City 0-0 Arsenal
••Spanish Primera División
Valencia 2-2 Rayo Vallecano
Real Madrid 5-1 Sporting Gijon
Getafe 3-1 Espanyol
Las Palmas 0-3 Atletico Madrid
Barcelona 6-0 Athletic Bilbao
••Italian...
Serikali yatoa ratiba mkutano wa Wazalishaji Umeme Wazalendo.

WAZALISHAJI UMEME WAZALENDO
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM, Jumatatu, 18-1-2016: WIZARA ya Nishati na Madini imeandaa mkutano wa wazalishaji umeme wazalendo unaotarajiwa kufanyika jijini Dar.
"Wizara itatoa ratiba kwa makampuni ya wazalendo kuja kutoa mapendekezo ya miradi yao tarehe 15-17 February...
Sunday, 17 January 2016
Serikali yalifungia gazeti la 'Mawio'.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeamua kulifuta kutoka katika Daftari la usajili wa magazeti, gazeti lijulikanalo kama “MAWIO”.Amri ya kulifuta Gazeti hilo imetolewa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye wakati alipokutana na Waandishi wa Habari katika Ukumbi...
WAZANZIBARI MNALIJUA HILI KUHUSU MAALIM SEIF?
Na Bollen Ngetti
Kuna baadhi ya wasomaji wa maandiko yangu wameendelea kunilaani na kudai ninamshambulia Maalim Seif na huenda nina chuki binafsi na mwanasiasa huyo wa Z'bar. Wengine wameenda mbali na kudai ninatumika! Ninachojua ni kwamba unaweza kumzuia ndege asitue juu ya kichwa chako lakini kamwe huwezi kumchagulia pa kujenga kiota chake. Sina chuki na Seif, situmiki maana si hulka yangu. Tatizo...