Kuna stori ambayo tuliripoti ambayo inavutia sana juu ya Mtandao Nguli wa Kijamii
FACEBOOK kuwa Utaanza kulipiwa na wote wataotumia??? Kunaweza kuwa na ukweli ama si kweli lakini kama wanaTEKNOLOJIA hebu tujadili apa.
Wanadai kuwa Marc Zuckernbrg alilizungumizia hilo Menlo Park, California kuwa Facebook hivi sasa inazaidi ya watumiaji BILIONI 1.317 sasa wanagharamika mambo yote ya malipo ya mtandao huo.
Vitu kama "Servers, datacentre , electricity charges, service charges"
na Mishahara ya wafanyakazi kwa hiyo watu watakuwa wanapiga picha tu
hawatatengeneza PESA.
Kwa taarifa nilizopata ni kuwa itagharimu $2.99 kwa mwezi mmja kwa mtu
kuitumia facebook. Lakini pia nikaskia kuwa hii Gharama itakapotozwa kwa
mtumiaji basi hakutokuwa na matangazo ya kibiashara yatakayomsumbua
sumbua
Lakini nikasikia pia kuwa wale wataoendelea kutumia bure watakuwa wanaona
matangazo mengi na mbali mbali katika accounts zao na Newsfeed.
Na nikaskia hvi ili utumie free facebook utatakiwa kuweka STATUS hii kwa Account yako I AM POOR FACEBOOK PLEASE WAIVE MY MONTHLY FEE kwa HASHTAG hii hapa #FacebookMonthlyFee
SWALI KWAKO?
Uko tayari KULIPA DOLA 2.99 kwa ajili ya kuingia Facebook kuchat kuweka
status na kufanya mambo mengine mbali mbali??? Je unafikiri Facebook
watafanya vizuri kwenye soko la ushindani katika mitandao ya kijamii??? na je tatizo gani linalowasumbua Facebook (FEDHA ZA UENDESHAJI).
Bantu Inc hivi sasa iko katika mchakato wa kufungua mtandao mkubwa wa kijamii bora na wa kisasa zaidi ambao utakuwa na mambo mbalimbali ya kuvutia,kuburudisha,kufundisha na kusisismua.Kaa mkao wa kula kwa mapinduzi makubwa yanayotarajiwa kufanywa na Bantu Inc kupitia mtandao wao mkubwa utakaoitwa Bantuz
Imeandaliwa na...........
Katemi Methsela.
0 comments:
Post a Comment