Kila Alhamisi na Ijumaa, shughuli katika mji
wa Kisumu, magharibi mwa Kenya, huvurugika kwa sababu mamia ya waendesha
pikipiki huzuia barabara kutokana na kukodiwa kuomboleza msiba kwa
malipo.
Kelele za sauti zao, ukubwa wa misafara ya pikipiki vinatumiwa kama kigezo cha umaarufu na heshima kwa marehemu. Lakini
sasa haya yote huenda yakawa mambo ya kale, baada ya serikali ya kaunti
ya Kisumu kuharamisha mtindo huu wa uombolezaji. Mwandishi wetu Dennis
Okari anaarifu zaidi.
0 comments:
Post a Comment