Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Friday, 27 November 2015

Haya ndio maamuzi Magumu aliyoyafanya Waziri Mkuu baada ya kutembelea Mamlaka ya Bandari (TPA)

Waziri mkuu Kasim Majaliwa awasimamisha kazi kamishna wa kodi Tiagi Masamaki na Habibu Mpozya kitengo cha huduma kwa wateja kutokana ubadhilifu wa fedha kwa makontena zaidi ya 300 yaliyopotea. Wengine ni Haruni Mpande -ICT, Hamisi Ali Omari na Eliachi Mrema incharge wa ICD na amemuru wrote wakamatwe  uchunguzi uendelee. Walohamishwa kituo na kupelekwa mikoani ni Nsajigwa Mwandege, Robert Nyoni...

Wednesday, 18 November 2015

Bomoa bomoa yaikumba Wilaya ya Kinondoni leo.

Hizi ni baadhi ya picha za bomoa bomoa katika eneo la tukio hapa Mwenge, baada ya hapo wameenda katika maeneo menginie ikiwemo Tegeta. Inaelezwa kwamba wakazi waliokuwa wanaishi katika eneo la hilo walitakiwa kuondoka mapema kwa amri ya Serikali kutokana na kwamba maeneo hayo sio sehemu rasmi...

NINACHOAMINI MAESTRO:->NIDHAMU NA MIPANGO YA MCHEZO VIMETUFIKISHA HAPA.

Na: Ayoub Hinjo(Ayo's Mata Maestro) 1. GAME APPROACH(MBINU ZA MCHEZO) Nidhamu ya mchezo ni kitu ambacho kinaweza kuamua mchezo. Tanzania hatukuwa na nidhamu ya mchezo kwenye michezo yote miwili dhidi ya Algeria. Mbinu za mchezo zinaanzia kwa kocha,benchi lake la ufundi na mwisho kwa wachezaji. Sisi...

Askari 78 watimuliwa Mwanza

ASKARI 78 wa usalama barabarani Mkoa wa Mwanza, wameondolewa katika nafasi zao na kupangiwa kazi nyingine katika vitengo mbalimbali kutokana na utovuwa nidhamu. .Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Kamishina Msaidizi wa Polisi, Charles Mkumbo, akizungumza na waandishi wa habari jana, alisema mabadiliko...

Tuesday, 17 November 2015

Utaangalia mechi ya Marudiano Kufuzu fainali za kombe la dunia :Algeria vs Tanzania kupitia BantuTv LIVESTREAMING.

BantuTv LIVE STREAMING:ALGERIA vs TANZANIA 21:15 USIKU. Baada ya Timu ya taifa ya Tanzania katika michuano ya kufuzu kucheza fainali za la dunia kutoka sare ya Goli 2-2 dhidi ya timu ya taifa ya Algeria katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.Timu hizo...

Monday, 16 November 2015

Diamond Platnumz na Vanessa Mdee washinda tuzo 4 za AFRIMA 2015 Nigeria

Tuzo za All Afrika Music Awards 2015 (AFRIMA) zimetolewa usiku wa Jumapili November 15 jijini Lagos, Nigeria ambapo Tanzania imetoa washindi wawili. Diamond Platnumz aliyekuwa akiwania tuzo hizo ameibuka mshindi wa vipengele 3 kikiwemo kipengele muhimu cha Msanii Bora Wa Mwaka (Artist Of...

Sunday, 15 November 2015

Kundi la kigaidi la IS lakiri kuhusika na shambulizi la Paris-Ufaransa.

Kundi la kigaidi la Islamic State limekiri kutekeleza shambulizi la Paris.Katika taarifa yake iliochapishwa mtandaoni,kundi hilo la kijihadi ,limesema kuwa shambulizi hilo lililenga kuielezea Ufaransa kwamba pia nayo ni miongoni mwa mataifa yanayolengwa na kundi hilo. Kundi hilo limesema kuwa lilichunguza...

Na Happiness Katabazi:- DK.TULIA ACKSON HUFAI KUENDELEA KUWA NAIBU MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

NAIBU Mwanasheria Mkuu wa Serikali ,Dk.Tulia Ackson  Novemba 11 Mwaka huu, amechukua fomu ya Kugombea nafasi ya Spika kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM). Ieleweke kwamba Cheo cha Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali ni Cheo Che kiutendaji na hivyo anayeshikilia Cheo hicho ni mtumishi wa Umma kwa maana...

Saturday, 14 November 2015

Mamba wakali kutumika kulinda wafungwa Indonesea.

Mkuu wa shirika la kupambana na dawa za kulevya Indonesia amependekeza mamba watumiwe kulinda wafungwa waliohukumiwa kunyongwa. Budi Waseso anataka taifa hilo lijenge gereza kwenye kisiwa na kizingirwe na mamba akisema wanyama hao ni walinzi bora kushinda wanadamu, kwani hawawezi kuhongwa.Amesema atazuru...

Hizi ndizo Channel zitakazorusha moja kwa moja mechi Tanzania vs Algeria.

Hii ni mechi ya kwanza ya mzunguko wa pili kufuzu kuelekea Kombe la Dunia 2018.Ni mechi muhimu kwa timu ya taifa ya Tanzania maana itakuwa nyumbani uwanja mkuu wa Taifa.Katika michezo mitano ya mwisho timu ya Tanzania imeshinda mchezo mmoja pekee, huku ikitoka sare michezo miwili na kufungwa miwili....

Maalim Seif atangaza kutoshiriki Uchaguzi utakaorudiwa Zanzibar.

Mgombea Urais kwa tiketi ya CUF Zanzibar Maalim Seif amesisitiza tena kuwa yeye na chama chake hawatoshiriki kwenye zoezi la kurudia Uchaguzi Visiwani Zanzibar kama ilivyotangazwa na ZEC Ameyasema hayo Jijini Dar baada ya kikao na vyama vinavyounda UKAWA kukutana Jijini Dar es Salaam jana, pamoja na...

Taarifa kamili kuhusiana na Shambulio la kigaidi lililotokea Paris-Ufaransa.

Ufaransa imetangaza hali ya hatari na kufunga mipaka yake baada ya watu zaidi ya 120 kuuawa kwenye mashambulio kadha mjini Paris. Watu 120 wameuawa katika ukumbi wa sanaa wa Bataclan, katikati mwa mji wa Paris.Watu wenye silaha walishika mateka watu waliokuwa kwenye ukumbi huo kabla yao kuzidiwa nguvu...

Friday, 13 November 2015

Pato la Manchester United laongezeka Maradufu katika robo ya Kwanza ya Mwaka wa Kifedha.

Klabu ya soka ya Manchester United imetangaza mapato yao ya robo ya Kwanza ya Mwaka wa Kifedha.Klabu hiyo pia iko mbioni kuvunja rekodi ya kuvuka Mapato ya pauni milioni 500 na kuweka Rekodi ambayo hajafikiwa na Klabu yeyote. Mapato ya Man United kwa Miezi Mitatu, iliyoiishia Septemba, ni Pauni Milioni...

Pambano kati ya Brazil dhidi ya Argentina lasogezwa mbele kutokana na hali mbaya ya hewa.

Mchezo wa kuwania kufuzu kwa kombe la dunia kati ya Brazil na Argentina umeahirishwa sababu ya mvua nyingi kunyesha. Mchezo huo iliokua uchezwe usiku wa siku ya alhamisi katika uwanja wa Estadio Antonio Vespucio Libert, mjini Buenos Aires sasa utachezwa usiku wa siku ya ijumaa. Sehemu ya kuchezea ya...

Kikwete afurahia kasi ya Rais Magufuli.

Rais aliyeondoka mamlakani majuzi nchi Tanzania amesifu jinsi Rais mpya John Magufuli ameanza kufanya kazi na kumtaka aendelee vivyo hivyo. Rais mstaafu Jakaya Kikwete alisema hayo wakati wa kukabidhi rasmi ofisi yake kwa Rais Magufuli aliyeapishwa Novemba 5 baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi mkuu...

Klabu ya Lille yawasilisha rasmi ofa ya kumsajili Samatta.

Klabu ya Lille inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa imewasilisha rasmi ofa ya kumsajili mshambuliaji wa TP Mazembe ya DRC) na Taifa Stars, imefahamika. Katika mahojiano na moja ya vituo vya televisheni vya Afrika Kusini usiku wa kuamkia jana, Mmiliki wa TP Mazembe, Moise Katumbi, alisema klabu hiyo imewasilisha...

Serikali yasimamisha wafanyakazi 4 kwa tuhuma za wizi wa kuaminika Kilimanjaro.

Wafanyakazi wanne wa halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wamesimamishwa kazi na mweka hazina wa hospitali ya machame amefukuzwa kazi kwa tuhuma mbili tofauti za wizi wa kuaminika wa kujipatia zaidi ya shs.74mil/=. Mkuu wa wilaya hiyo Bw Antony Mtaka amesema, wafanyakazi wawili wa idara ya...

Ronaldo anunua 'Private Jet' kwa zaidi ya Bilioni 44.

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo anaripotiwa kutumia mkwanja mrefu kununua ndege binafsi, Staa huyo anayeongoza katika list ya rekodi ya watu maarufu wanaongoza kupata likes...

Bantuz MAGAZETINI-Soma kilichoandikwa katika Magazeti ya leo Novemba 13.

BantuTz MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusoma na kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kupata habari nuhimu baada ya maombi ya wadau mbalimbali. Hapa utasoma kurasa za...