Ikiwa leo Novemba 5, 2015 ndio Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemaliza muda wake wa kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku Dk.John Pombe Magufuli akiapishwa kama rais wa awamo wa 5 wa kuliongoza taifa hili.Sasa kupitia kwenye akaunti ya twitter ya Jakaya Mrisho Kikwete ameyaandika haya maneno kuhusu kulitumika taifa la Tanzania kwa miaka 10..’Miaka 10 imekwisha. Imekuwa safari nzuri na yenye mafanikio makubwa kwa nchi yetu. Taifa letu litabaki salama. Nawatakia kila la kheri’ – Kikwete
Thursday, 5 November 2015
Rais Mstaafu J.M.Kikwete awaachia WaTanzania Ujumbe huu.
Related Posts:
Hilo ndilo daraja kubwa kutoka Zanzibar hadi Dar Es Salaam.Unaweza ukadhani ni ndoto lakini hii ni habari ya kweli baada ya Hifadhi ya jamii NSSF kutangaza uwezekano wa kujengwa daraja la kihistoria zaidi litakalounganisha Dar es salaam na Zanzibar. Uwepo wa daraja hilo unaweza k… Read More
Warioba adhalilishwa mdahalo wa Katiba Katika mazingira ya kutatanisha, siku ya Jumapili vurugu zimekatisha mdahalo uliokuwa ukiendelea kujadili mchakato wa katiba mpya ya Tanzania huku baadhi ya watu wakipigwa na kujeruhiwa. Mdahalo huo uliokuwa ukita… Read More
MWANAFUNZI WA DARASA LA TANO ATUNDIKWA MIMBA NA MWANAFUNZI MWENZAKE KISA SH.ELFU MBILIMtoto mmoja aliyejulikana kwa jina la Paulina (14) mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Boko, jijini Dar amekatisha masomo kutokana na kupata ujauzito. Mtoto anayejulikana kwa jina la Paulina (14) alitundikwa m… Read More
Ndege ya rais wa China yahusishwa na wizi Pembe za ndovu Tanzania. Inadaiwa kuwa wanunuzi, raia wa Uchina walinunua maelfu ya kilo za pembe za ndovu nchini Tanzania na kuzitorosha kutoka nchini humo katika ndege ya kibinafsi ya raia wa Uchina Xi Jinping,wakati alipozuru bara Afri… Read More
Basi la Happy Nation lapata ajali mbaya Igurursi-Mbeya Taarifa zilizotufikia Muda huu zinasema kwamba kuna ajali mbaya imetokea katika eneo la Igurusi ,Kikosi kazi cha Mbeya yetu kinaelekea eneo la Tukio muda huu. Endelea kutembelea www.bantutz.com uweze kujua kila… Read More
0 comments:
Post a Comment