Facebook

Wednesday 11 November 2015

Samwel Sitta ajitosa kuwania Uspika.

Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta amechukua fomu za kuwania uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,Ndugu Mohamed Seif Khatib.

0 comments:

Post a Comment