Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Saturday, 31 January 2015

Msikiti mkubwa Afrika wajengwa Algeria

Msikiti utakaoshindana na maeneo mengine ya Kiislam ya kuabudia makubwa kuliko yote duniani unajengwa katika pwani ya kaskazini mwa Algeria. Nini malengo ya kujenga msikiti mkubwa kama huu? Nusu ya eneo katika ghuba ya Algiers, jengo kubwa taratibu limeanza kuibuka kutoka ardhini. Katika sehemu...

Je,kiungulia ni ishara ya saratani?

Madaktari mjini Devon wanaunga mkono kampeni mpya inayowaagiza raia kuwatembelea madaktari wao iwapo wanahisi kuwa na kiungulia kwa siku kadhaa kwa kuwa huenda ikawa ishara ya ugonjwa wa saratani. Zaidi ya watu 10,000 hufariki kutokana na saratani ya tumbo ama ile ya koromeo kila mwaka nchini...

Iyanya kutoka Nigeria amem-diss Jaguar wa Kenya kwa kumuita mvivu

    Mbali na wawili hao kufanya collabo ya pamoja kwenye ngoma ya Jaguar mwenyewe iitwayo "One centimeter rmx" akiwa amemshirikisha Iyanya kutoak Nigeria waliingia kwenye utata baada tu ya kutoa ngoma yao hiyo.   Utata huo ulianza baaada ya kusambaa kwa video hiyo ambapo...

Mazishi ya baba wa Peter na Paul -P square yanafanyika leo

  Wasanii waakubwa ambao ni mapachaPeter na Paul maarufu kama P-square kutoka Nigeria  wanataraji kumzika baba yao mzazi  Pa Mosses Okoye leo aliefariki november mwaka jana.   Mazishi hayo ambayo yatafanyika ki mila pia yameweza ku make headlines kutokana na kucheleweshwa...

Huu ndio muonekano mpya wa Rihanna

Mwana dada mwenye skendo za kila kukicha ame-post picha ikimuonyesha munekano wake wa nywele na hata sura.   Muonekano huo unatumika katika jarida moja linalohusu muziki na maisha ya watu maarufu kwa ujumla.Rihanna ndie atakae tumika kama cover photo. ...

Huu ndio muonekano mpya wa Rihanna

Mwana dada mwenye skendo za kila kukicha ame-post picha ikimuonyesha munekano wake wa nywele na hata sura.   Muonekano huo unatumika katika jarida moja linalohusu muziki na maisha ya watu maarufu kwa ujumla.Rihanna ndie atakae tumika kama cover photo. ...

Huu ndio muonekano mpya wa Rihanna

Mwana dada mwenye skendo za kila kukicha ame-post picha ikimuonyesha munekano wake wa nywele na hata sura.   Muonekano huo unatumika katika jarida moja linalohusu muziki na maisha ya watu maarufu kwa ujumla.Rihanna ndie atakae tumika kama cover photo. ...

Kanye west:"Mimi ni baba bora kwasababu ya Kim Kardashian na mwanangu North West

    Mkali wa rap nchini marekani na baba wa familia Kanye West,aliyasema hayo katika kipindi cha The Ellen Degeneres show ambapo kanye alifunguka ukweli kuhusu yeye na maisha yake paoja na familia yake. Alikuwa akihojiwa juu ya video yake mpya iitwayo "Only One" ambapo kwenye...

Mpinzani wa Obama mwaka 2012 ajiondoa kugombea Uchaguzi Marekani.

  Mitt Romney, mgombea wa chama cha Republican aliyeshindwa na rais Obama katika uchaguzi wa mwaka 2012 ameamua kutowania tena wadhfa huo. Bwana Romney mwenye umri wa miaka 67 amesema kuwa ameamua ni muhimu kuwapatia viongozi wengine katika chama hicho fursa ya kuchaguliwa kama wagombea. Taarifa...

Apple yavunja rekodi kwa uuzaji wa vifaa vyake duniani.

Kampuni ya kutengeza vifaa vya elektroniki, Apple, imetangaza kupata faida ya dola bilioni 18.8 katika kipindi cha miezi minne ya mwisho mwaka jana , na kuifanya kuwa kampuni ya umma iliyopata faida kubwa zaidi duniani. Apple bila shaka imeipiku,ExxonMobil iliyopata faida ya dola bilioni 15.9 mwaka...

Diamond Platnumz,Davido na Wizkid wamaliza tofauti zao.

  Wakali hawa wanaofanya vizuri kwenye ramani ya muziki Africa na kimataifa kwa ujumla hatimae bifu lao limeisha. Uthibitisho huo wa bifu la wakali hawa watatu limeisha mara baada ya Diamond platnumzna Wiz kid ku-post kwenye page zao za instagram nyimbo mpya ya Davido aliyo mshirikisha...

Baba ajiua kutokana na picha za mwanawe

Baba mmoja amejiua baada ya kuona picha za uchi zamwanawe wa kike katika jarida la Playboy nchini Romania. Loredana Chivu alirarua ukurasa uliokuwa na picha yake akiwa 'amepos' katika jarida hilo la Playboy na punde babake alipogundua kuhusu picha hizo, alizongwa na mawazo na hata kumkana mwanawe. Kwa...

Sister wa kanisa kubwa duniani ajifungua mtoto wa kiume nchini Italy

Sister mmoja huko nchin Italia amejifungua mtoto wa kiume mara baada ya kulalamika kwa muda mrefu kwamba anasumbuliwa na tumbo ndipo kuwaishwa hospitalini na kujifungua mtoto licha ya kuwa alikua anaishi jumuia ya wanawake watupu katika kanisa katoliki Italia.   Sister huyo mwenye...

Wema sepetu akamatwa na polisi kwa bajaji

    Mwana dada muigizaji wa filamu za kitanzania asie kauka kwenye vichwa vya habari kwenye mitandao na midomoni mwa watu,amefanya tukio jingine la kushangaza jamii kitendo kilicho pelekea mapolisi kuja kumkamata. Polisi wamejikuta wanapata heka heka ya kumshika mwana dada...

Msanii Suge Knight akamatwa kwa mauaji

Polisi nchini Los Angeles inasema kuwa msanii wa muziki wa rap kutoka Marekani Marion Suge Knight amekamatwa kutokana na mashtaka ya mauaji baada ya kumgonga mtu mmoja na gari lake hadi kumuua na baadaye kutoroka. Polisi wanasema kuwa bwana Knight alijibizana na watu wawili katika eneo la kuegesha...

BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO JANUARI 31

  BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma magazeti yote ya leo. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Endelea...