Facebook

Sunday 25 January 2015

Lil wayne,Bird man vita inanukia



 0123-birdman-lil-wayne-tmz-02 
Wawili hawa mbali na kufanya kazi kama baba na mwana hakuna ata mmoja alie zania kama watafika hapa walipofikia.Bird man na Lil wayne wameingia kwenye bifu baada ya Wayne kucheleweshewa kwa album yake.
 
Chanzo kingine cha bifu hili kuongezeka ni baada ya kujulikana kuwa Wayne ameshauriana na mshauri wake na kuamua kwenda kumshtaki Bird man amlipe hela zake kiasi cha dolla million nane $8000,000
Taarifa kutoka tmz.com inasema kuwa Bird man amekiuka masharti ya mkataba walio kubaliana na Wayne hivyo wayne hana budi kumshtaki.Wayne anasema Bird anamdai dolla millioni nane $8000,000 kutokana na kucheleweshwa kwa album yake ya "Calter V". ambayo ilitakiwa kutoka mapema.

0 comments:

Post a Comment