Facebook

Saturday 17 January 2015

TETESI ZA SOKA ULAYA- DIRISHA DOGO LA USAJILI


Kocha wa Real Sociedad David Moyes anataka kumsajili mshabuliaji wa Burnley Danny Ings, 22 (Independent),

Meneja wa Manchester United Louis van Gaal ataruhusiwa kutumia pauni milioni 150 katika dirisha dogo la usajili la Januari (Daily Mirror),

Juventus na Roma wanataka kumsajili Radamel Falcao, 28 ambaye hatma yake Man Utd iko mashakani (Daily Star)

kaka wa Gonzalo Higuain ambaye ndio wakala wake amesisitiza kuwa hajazungumza na Liverpool na kusema mchezaji huyo kutoka Argentina ametulia Napoli (Daily Mail), 

Maneja wa Liverpool Brendan Rodgers amefutilia mbali uwezekano wa kuondoka kwa Lucas Leiva, 28 (Times), 

Meneja wa Crystal Palace, Alan Pardew hajakanusha taarifa zinazomhusisha na mshambuliaji wa Swansea Bafetimbi Gomis, 29 na beki wa Liverpool Jose Enrique (Daily Star).

0 comments:

Post a Comment