Facebook

Sunday 25 January 2015

Mtoto wa Will Smith,"Willow" ashangaza watu kwa kinguo chake

.willo 
 
Mtoto wa muigizaji maarufu wa nchini marekani na alie kua mwanamziki wa Will Smith,ame shangaza watu mara baada ya Willow Smith kupost picha aliyokua amevaa kuwaacha maswali mengi
 
Willow mwenye umri wa miaka 13 ambae pia ni mwanamziki ,kilicho sababisha watu wajiulize maswali mengi ni kutokana na nguo aliyokua amevaa.
 
Wengine wanasema nguo imechorwa na wengine wanadai nguo ni transparent yaani inaonesha mpaka ndani.Kwa kuitazama vizuri picha hiyo uta gundua inaonesha kama yupo mtupu.

0 comments:

Post a Comment