Facebook

Sunday 25 January 2015

Paul wa P square afunga ndoa ya kisheria


anitapaul 
Msanii Paul pacha wa Peter kwa pamoja P square amefunga ndoa ya kisheria na mpenzi nwake Anita
Paul wame halalisha muungano wao kwa kutum ia sheria na kufunga ndoa hiyo kupitia ikoyi registry.Anita na Paul hawakusita ku share na watu ndoa yao hiyo mara baada ya ku post picha zao kwenye mitandao..
  Watu walipo taka kujua kwanini wamefanya simple na sio kama ilivyo zoeleka,rafiki yake Anita ambae ni Mrs Okoye alisema
For her beauty look, here’s what Lilian had to say, Getting the beautiful @anita_okoye ready for her court registry. She said she wanted to look like she walked in her closet and pulled out her outfit. So I decided to keep it #simpleandclassy. A lil lace detail for the special occasion.We decided neutrals and she seemed happy.#happyclienthappystylist. Wishing her and Paul God’s blessings on this special day #AnitaandPaul#2015loading
01
Anita-Okoye-3-600x594Anita-Okoye-2-470x600

0 comments:

Post a Comment