BORNE amesema ameongea na mtu wake wa karibu THE BIG HOMMIE kuwa kwa sasa yupo tayari kuomba msamaha wawili hao RIHANNA na JAY Z ili waweke mambo sawa.."I'm a man at the end of the day,"I'm wrong and i can admit when I'm wrong."
Tuesday, 13 January 2015
Mcheza Boxing ADRIAN BRONER aomba msamaha kwa JAY Z na RIHANNA
Related Posts:
Shindano la Miss Tanzania lafungwiwa Serikali ya Tanzania imeyafungia kwa miaka miwili mashindano ya Miss Tanzania baada ya waandalizi kudaiwa kukiuka taratibu na kanuni. Mashindano hayo yaliofunguliwa mwaka 1994 yamedaiwa kuwa na upendeleo mbali na … Read More
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO DESEMBA 29 BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa katika … Read More
Huyu ndiye mchezaji anayeichukia sikukuu Chrismass Wachezaji wengi wa soka barani ulaya wamekuwa mstari wa mbele kuwatakia mashabiki wao heri ya sikukuu ya krismasi katika kipindi hiki ambacho kila mmoja amekuwa katika mzuka wa sikukuu hii . Wayne Rooney hakubaki nyuma… Read More
Filamu ya Interview yatikisa mitandaoni Kampuni ya Sony Picutues inasema kuwa - the interview - ambayo ni filamu yenye utata ya dhihaka kuhusu njama ya kumuua kiongozi wa korea kasakzini Kim Jong un imekuwa yenye mafanikio zaidi mtandaoni. Kampuni hiyo i… Read More
Chris Brown Na Karrueche Tran Wamerudia rasmi. Hivi karibuni wapenzi Chris Brown na Karrueche Tran wameteka vichwa vya habari kwa kugombana kwenye mitandao na kurushiana vijembe kuhusu mapungufu ya uhusiano wao na nani anasababisha. Jipya kuhusu hawa ndege wawili … Read More
0 comments:
Post a Comment