Facebook

Saturday 17 January 2015

RONALDO, MOURINHO WAPATA TUZO ZA KARNE

RONALDO, MOURINHO WAPATA TUZO ZA KARNE
Mshindi mara tatu wa tuzo ya Ballon d'Or Cristiano Ronaldo ametajwa kuwa mchezaji wa karne nchini Ureno, katika sherehe za kuadhimisha miaka 100 ya shirikisho la kandanda la nchi hiyo. Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho amepata tuzo ya kocha wa karne, katika shughuli iliyofanyika Estoril casino, kilomita 10 nje ya Lisbon.

0 comments:

Post a Comment