Facebook

Sunday 25 January 2015

Robin Van Persie na mtoto wake wa kiume walivyocheza soka kwenye tangazo la TV

Van Persie
24F925E800000578-0-image-a-17_1422010266198

Mshambuliaji wa Manchester united Robin Van Persie ameshare freestyle ya picha akiwa na mtoto wake wa kiume Shaqueel mwenye umri wa miaka 7 wakiwa wanafanya mazoezi ya kutengeneza tangazo jipya la video kwa ajili ya kampeni ya BT Sport.
Star huyo wa Netherlands ameonekana katika video tatu tofauti  akimfundisha mtoto wake  baadhi ya mbinu za mpira kwenye kampeni hii iitwayo The father and son ambapo Robin ni balozi wa kampuni hiyo.
24F8F63900000578-0-image-a-19_1422010406117
24F923D800000578-0-image-a-20_1422010413826
24F925E800000578-0-image-a-17_1422010266198
24F9241600000578-0-image-a-16_1422010217351

0 comments:

Post a Comment