Guy Scott ambaye alikuwa makamu wa rais
Zambia wakati wa utawala wa Michael Sata ametajwa kushika nafasi ya
urais wa nchi hiyo kwa sasa mpaka pale ambapo ataapishwa mara baada ya
kufanyika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.
Waziri wa ulinzi Zambia Edgar Lungu
amesema maandalizi ya uchaguzi huo yataanza...
-
Tutorial 1
This is Trial
-
Tutorial 2
This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...
-
Tutorial 3
This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...
Thursday, 30 October 2014
Chelsea yapeta Capital One Cup.

Didier Drogba ameipa ushindi Chelsea wa mabao 2-1 dhidi ya Shrewsbury.
Mchezo huo wa kombe la ligi marufu kama capital one, umechezwa usiku wa kuamkia leo.
Timu kadhaa zilijitupa uwanjani ili kutafuta nafasi ya kuingia robo fainali yaligi hiyo katika ligi hiyo.
Mario Balotelli ametia chachu katika...
Manchester City yatolewa Capital One
Mechi za kombe la ligi ya CAPITALA ONE CUP zimeendelea usiku wa kuamkia leo viwanjani.
Manchester
City ikicheza nyumbani ilijikuta ikiwaduwaza mashabiki wake baada ya
kukubali kichapo cha mabao 2 bila majibu kutoka kwa Newcastle utd na
kutupwa nje kabisa ya mashindano hayo.
Nayo Tottenham hotspurs...
RAIS WA ZAMBIA AFARIKI DUNIA

Serikali ya Zambia imesema Rais wa nchi hiyo Michael Sata amefariki
dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu kwa maradhi ambayo
hayakutajwa. Rais Sata, 77, alifariki katika hospitali ya King Edward VII jijini London, Uingereza Jumanne usiku. Vyombo vya habari vimesema alifariki baada ya...
Muigizaji Mzee Manento amefariki dunia
Habari zilizotufukia hivi punde zinasema kuwa muigizaji Mzee
Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunafuatilia kwa karibu habari
hizi nz chanzo ch kifo cha mzee wetu huyu.
Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakin na
marehemu Kanumba. Hero of the church, Dar to lagos,fake...
CHIDI BENZ AVAA MLEGEZO KIZIMBANI.

Rapper Chidi benz aliypandishwa kizimbani siku ya jumanne kwa shtaka la
kukamatwa na madawa ya kulevya...
Amepandishwa tena kizimbani leo
ambapo alirudishwa nje na Jaji akavae vizuri suruali aliyokuwa ameiweka
mlegezo na kurudishwa tena rumande hadi novemba 11 atakapopandishwa
tena kizimbani....
Saturday, 25 October 2014
WANAFUNZI WAADABISHWA KIJESHI KWA KOSA LA KUFANYA FUJO NA KUCHOMA SHULE YAO.

Kamishna wa Elimu nchini ameifunga kwa mwezi mmoja shule ya sekondari Njombe (NJOSS) baada ya wanafunzi wa shule hiyo kufanya fujo na kuchoma moto shule yao pamoja na shule ya msingi iliyojirani ya shule yao.
Chanzo cha vurugu hizo ni kitendo cha Bodi ya Shule hiyo kuwasimamisha shule wanafunzi wenzao...
Diego Costa hatihati.

Diego Costa huenda akacheza katika mechi ya
Ligi Kuu ya England dhidi ya Manchester United
licha ya kuugua na kulazimika kupelekwa
hospitali.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Spain,
26, amekuwa akipata nafuu akiwa nyumbani na
kutakiwa kufanya mazoezi peke yake kutokana
na ugonjwa huo. Hata hivyo kwa...
VAN GAAL :MOURINHO AMEJIJENGA MWENYEWE

Meneja wa Manchester United Louis van Gaal
amesisitiza kuwa hajafanya lolote kubwa
kusababisha Jose Mourinho kuwa moja ya
makocha wenye mafanikio duniani.
Mourinho, ambaye ni meneja wa Chelsea kwa
sasa, alifanya kazi chini ya Van Gaal akiwa
Barcelona, na huwa anasema Van Gaal na Bobby
Robson ndio wamempa...
Friday, 24 October 2014
Taarifa kamili kuhusu Chid Benz kukamatwa na madawa ya kulevya uwanja wa Ndege

Kuna taarifa zilitoka BantuTz.com leo
jioni kuhusu msanii wa muziki wa kizazi kipya
Chidi Benz kukamatwa na dawa za kulevya
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere Dar es Salaam akiwa anaelekea
Mbeya kwenye show ya Instagram Party
ambayo inatarajiwa kufanyika kesho.
BantuTz.com iliahidi...
Thursday, 23 October 2014
Baraza la Sanaa (BASATA) kumvua taji miss Tanzania 2014 kwa udanganyifu juu ya umri wake

Sakata la lililojitokeza la mrembo
wa Taifa wa mwaka huu 'Redd's Miss
Tanzania 2014', Sitti Mtemvu
kudaiwa kudanganya umri, limeingia
katika sura mpya baada ya Baraza la
Sanaa Tanzania (Basata) kueleza
kuwa litamvua taji hilo endapo
itabainika kweli alichakachua umri
wake.
Katibu Mkuu wa Basata, Geoffrey
Mwingereza,...
Tuesday, 21 October 2014
Manchester United yabanwa mbavu Ligi Kuu Uingereza.

Ligi kuu ya England
imeendelea jana usiku ambapo Manchester United ilijikuta ikibanwa mbavu
na kushindwa kufurukuta ugenini kwa West Bromwich Albion na kutoka sare
ya mabao 2-2 licha kwamba ilitawala mchezo huo.
Mchezo huo wa
pekee kwa ratiba ya ligi hiyo ulishuhudiwa Man United...
Oscar Pistorius jela Miaka 5
Pistorius alipatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake bila kukusudia
Mwanariadha
wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya
kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.
Hii ni baada ya mwanariadha huyo mlemavu kupatikana...
Msanii Y.P wa kundi la TMK Wanaume Family afariki dunia.

MENEJA wa kundi la TMK Wanaume Family aliye pia
mkurugenzi wa MKubwa na Wanae, Said Fella
'Mkubwa' amethibitisha kuwa msanii YP amefariki
dunia usiku wa kumakia leo.
Akizungumza na BantuTz hivi punde kwa njia ya simu, Fella
alisema YP amefariki akiwa katika Hospitali ya Temeke na siyo nyumbani...
Wednesday, 15 October 2014
Uthibitisho kuhusu nyimbo mpya ya Ali Kiba 'aliyomchana' Diamond

Baada ya kutokuwepo kwa maelewano huku vyombo mbalimbali vya habari nchini vikiripoti bifu/ugomvi unaoendelea kati ya nyota wawili wanaotamba katika mziki wa bongo fleva nchini;Diamond na Ali Kiba.Leo hii BantuTz imekuchambulia kwa undani zaidi nyimbo iliyotolewa hivi karibuni ya Ali Kiba-Mwana...
Tuesday, 14 October 2014
Makamu wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad Zanzibar,aipinga Rasimu ya Katiba

Songombingo la Rasimu ya katiba bbado linaendelea Zanzibar,baada ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kufukuzwa kazi na Rais wa Zanzibar,Mohamed Shein hivi sasa Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad naye ameipinga rsimu hiyo.
Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim...
"SIKU YA WANAFIKI KUMDHIHAKI BABA WA TAIFA Mwl J.K NYERERE"

Leo ni siku ya wanafiki kumdhihaki Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere,ni siku ya wanafiki kuwadhihaki watanzania.Njia pekee ya Kumuenzi Mwalimu ni kuyaishi matendo yale mema aliyolitendea taifa hili.
Leo mafisadi ndio wanaotunga na kuandika sheria mama ya nchi(Katiba) na kupuuza maoni ya wananchi.Haitakubalika...
Monday, 13 October 2014
"Nyuma Ya Pazia" kuzama kwa Meli ya Titanic-Sehemu-Full Article

"Kama ilivyo 'punje' moja ya mchanga katika
fukwe za bahari kuu za dunia, ndivyo ulivyo ufahamu wetu mdogo mbele ya mambo mbalimbali makubwa na mengi
tusiyoyajua duniani na mbele ya yale tunayodhani kuwa
tunayajua".
Jambo la kweli kuhusu
uhalisi umekuwa ukifichwa mno kwani ukweli una...
Majeruhi wazidi kuongezeka Arsenal.

Kwa
sasa tuna wachezaji kumi wa kikosi cha kwanza wapo nje kwa majeruhi.
Katika mchezo wa jana wa timu ya taifa Uingereza kufuzu Euro 2016 Danny
Welbeck alitonesha enka yake na kutolewa nje dakika 10 kabla ya mpira
kumalizika na moja kwa moja alielekea katika chumba cha kubadilishia
ngua...
Essien akana kuugua Ugonjwa wa Ebola

Baada
ya kuripotiwa kuugua ugonjwa wa EBOLA - hatimaye kiungo wa kimataifa wa
Ghana Micheal Essien amejitokeza na kusema yeye ni mzima wa afya -
hajaathirika na ugonjwa h...
Tanzania yaifumua Benin 4-1

Taifa Stars imeitungua Benin kwa mabao 4-1
katika mechi ya kitarafiki ya kimataifa
iliyochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam.
Mabao ya Stars yalifungwa na wachezaji wake
wawili wanaokipiga nchini na wawili
wanaocheza nje ya Tanzania.
Nadir Ali Harob ‘Cannavaro’ wa Yanga ndiye
alianza...
Linex akana shutuma za uvutaji wa Bangi.

Kupitia ukuarasa wake wa facaebook,Sunday Mjeda aliandika hiki
Kwa
mala ya kwanza Leo nimegoma kujibu swali ambalo nimekua nikiulizwa Sana
na vyombo vya habari ma swali lenyewe nikuhusi Mimi kujihusisha na
matumizi ya uvutaji Bangi Leo nawabia watanzania na wasio watanzania
Mimi sijawahi...
Sunday, 12 October 2014
Nyuma Ya Pazia Kuzama kwa Meli Ya Titanic-Sehemu Ya Pili

Naam matajiri wote walishaingia ndani ya Meli wakiongozwa na John Jacob
Astor ambaye kama nilivyosema hapo awali huyu ndiye alikuwa bilionea
namba 1 duniani kwa wakati huo, Hakuna yeyote aliyejua kwamba Meli hii ya kifahari ilikuwa inageuzwa kaburi lao muda mfupi ujao, Harufu ya damu ilinukia...
Friday, 10 October 2014
MAJINA YA MIKOPO VYUO VIKUU KWA WANAOINGIA MWAKA WA KWANZA
Majina ya wanafanzi wa Vyuo vikuu waliopata mikopo kutoka Bodi ya Mikopo Kwa Elimu ya Juu yametoka leo hii.
BantuTz imekurahisishia ingia hapa.......MAJINA YA MIK...
Basher Othman-Kiongozi mwenye Umri Mdogo zaidi Duniani.

Akiwa na umri wa miaka 16 tu, amefanikiwa kuingia katika serikali ya Palestina akiwa kama Waziri wa Utawala wa Ndani. Binti huyu aliezaliwa mwaka 1998 aliweza kuliongoza jimbo lake la Allar kama Meya kwa kipindi cha miezi 3 kabla hajateuliwa kuwa Waziri.
Je huyu ni nani?
Anaitwa Bashaer Othman,...
Mechi mbalimbali zitakazochezwa leo hii.

LEO IJUMAA
MECHI ZA KUFUZU EURO 2016
9:45 PM - Latvia vs Iceland
9:45 PM - Netherlands vs Kazakhstan
9:45 PM - Turkey vs Czech Republic
9:45 PM - Belgium vs Andorra
9:45 PM - Cyprus vs Israel
9:45 PM - Wales vs Bosnia-Herzegovina
9:45 PM - Bulgaria vs Croatia
9:45 PM - Italy vs Azerbaijan
9:45 PM -...
MATOKEO YA MECHI ZA KUFUZU EURO 2016

Group C
Slovakia (Kucka '17, Stoch '87) 2-1 Spain
(Alcacer 83)
Belarus 0-2 Ukraine (Martynovich '82 og,
Sydorchuk '90)
Macedonia (Trajkovski '20, Jahovic '66,Abdurahimi '90) 3-2 Luxembourg (Bensi '39,
Turpel '44)
Group E
England 5-0 San Marino (Jagielka '25, Rooney
'43 pen,78, Webeck '49, Townsend '72)
Lithuania...
MANCHESTER UNITED WAPO TAYARI KUMLIPA TYLER BLACKETT £ 50,000 KWA WIKI

-Uongozi wa Manchester United umetangaza
rasmi kwamba wapo katika hatua ya mwisho ya
kuuboresha mkataba wa beki kinda mwenye
umri wa miaka 20,Tyler Blackett ili aendelee
kuwepo kikosini hapo baada ya kuonekana bora
na kocha Van Gaal. Tyler Blackett atasaini
mkataba ambao atakuwa anapokea kiasi cha £
50,000...
Thursday, 9 October 2014
Daley Blind "Siko tayari kulinganishwa na Roy Keane"

Blind alisema ameyazoea maisha ya Manchester United kwa muda mfupi,lakini asisitiza kuwa nimapema sana kumlinganisha na Roy Kean,
Blind alisema "tusiende mbali sana,maendeleo yangu ni mazuri kwa sasa lakini ndo kwanza tunaanza"
"naweza kusema mwanzo wangu ni mzuri. Katika ligi ya England sio...
Ronaldo kuzeekea Real Madrid

Cristiano Ronaldo hana nia ya kurejea Manchester United na atamalizia
kucheza soka yake Real Madrid, amedai wakala wake Jorge Mandes.
Ronaldo,
29, tayari amefunga magoli 15 msimu huu, ikiwemo kufikisha hat
trick 22 katika La Liga. Taarifa zimekuwa zikimhusisha Ronaldo kurejea...
John Stones nje hadi 2015

Beki wa Everton na timu ya taifa ya England John Stones huenda asicheze
hadi mwakani baada ya kuthibitishwa kuwa anahitaji kufanyiwa upasuaji
katika kifundo cha mguu.
Stones, 20, aliumia katika mchezo dhidi ya Manchester United siku ya Jumapili na anatarajiwa kutocheza kati ya wiki 10 hadi ...