Majina ya wanafanzi wa Vyuo vikuu waliopata mikopo kutoka Bodi ya Mikopo Kwa Elimu ya Juu yametoka leo hii.
BantuTz imekurahisishia ingia hapa.......MAJINA YA MIKOPO
Friday, 10 October 2014
MAJINA YA MIKOPO VYUO VIKUU KWA WANAOINGIA MWAKA WA KWANZA
Related Posts:
Waisalamu na Maaskofu waungana kutetea rasimu ya Warioba.......................fuatilia hapa............ Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania imeungana na maaskofu mbalimbali kuwataka wajumbe wa Bunge la Katiba kuheshimu Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa kwa mujibu wa sheria na Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Pia, … Read More
Maige apinga serikali tatu,adai itakuwa maajabu ya dunia .......................fuatilia hapa............. Mjumbe wa Bunge la Katiba, Almas Maige amesema endapo wajumbe wa Bunge hilo watapitisha muundo wa Serikali tatu, nchi itaingia katika kitabu cha maajabu ya dunia cha Guiness Book of Records. “Hili litakuwa shirik… Read More
Ili kunusuru bunge,Sitta aifuta UKAWA Zanzibar.........soma hapa.......... Wakati viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakiweka kambi Zanzibar, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana naye alitumia siku nzima visiwani humo akikutana na baadhi ya viongozi wa… Read More
Hatimaye Jaji Warioba afunguka leo.....adai amesikitishwa na kauli mbalimbali za viongozi wa CCM Hatimaye Jaji Warioba amefunga na kusikitishwa na upotoshaji mkubwa sana unaendeshwa na viongozi wa CCM juu ya Rasimu ya katiba. Amesema kuna uongo unaokuzwa kuwa Serikali tatu inasababisha jeshi kuchukua nc… Read More
Paul Makonda awaita UKAWA watoto wa shetani na kagoma kufuta kauli.....................soma hapa.............................. Mjumbe wa Bunge la Katiba, Paul Makonda, jana aligoma kufuta kauli yake baada ya kuwaita viongozi wakuu wawili wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuwa ni watoto wa shetani. Akichangia bungeni, Makonda … Read More
0 comments:
Post a Comment