Saturday, 4 October 2014
Ratiba Ligi Kuu Uingereza
RATIBA | England - Premier League
Kesho Jumamosi
17:00 Hull City vs Crystal Palace
17:00 Leicester City vs Burnley
17:00 Liverpool vs West Bromwich Albion
17:00 Sunderland vs Stoke City
17:00 Swansea City vs Newcastle United
19:30 Aston Villa vs Manchester City
Keshokutwa Jumapili
14:00 Manchester United vs Everton
16:05 CHELSEA vs Arsenal
16:05 Tottenham Hotspur vs Southampton
18:15 West Ham United vs Queens Park Rangers
Related Posts:
Wenger apiga kichwa kama Cha Van Persie,akiwa anajirusha huko Brazil Kocha wa ti u ya ligi kuu ya Uingereza Arsenal,Arsene Wenger amekutwa akiwa katika fukwe huko Brazil akijirusha baada ya Ligi kuu ya Uingereza kuisha wakijiandaa na msimu ujao.Huku yeye akiwa nchini Brazili kufuatilia… Read More
Kocha wa Uruguay Tabarez kujiuzulu kufuatia adhabu kali aliyopewa Suarez. Kocha wa Uruguay Oscar Tabarez amesema kuwa atajiuzulu kama mwakilishi wa FIFA katika kamati mbili tofauti za kiufundi kupinga adhabu kali iliyotolewa na shirikisho hilo dhidi ya nyota wa Uruguay Luiz Suarez. … Read More
Safari nzima ya michuano ya kombe la dunia Brazil hii hapa… Read More
Nigeria yasusia mazoezi Kikosi cha Nigeria katika kombe la dunia kimesusia kikao cha mazoezi kama ilivyopangwa kwa sababu ya kukosa kulipwa fedha zao za ziada.… Read More
Ratiba ya mechi za kombe la dunia raundi ya mtoano. Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil sasa zimeingia Hatua ya Mtoano na zipo Timu 16 zinazowania kutinga Robo Fainali. Jumamosi, Juni 28, Wenyeji Brazil watacheza na wenzao wa Marekani ya Kusini Chile huko Estadio Min… Read More
0 comments:
Post a Comment