Facebook

Thursday 9 October 2014

Daley Blind "Siko tayari kulinganishwa na Roy Keane"

 Photo: Today's training session, still learning every day! #MUFC

Blind alisema ameyazoea maisha ya Manchester United kwa muda mfupi,lakini asisitiza kuwa nimapema sana kumlinganisha na Roy Kean,

Blind alisema "tusiende mbali sana,maendeleo yangu ni mazuri kwa sasa lakini ndo kwanza tunaanza"
"naweza kusema mwanzo wangu ni mzuri. Katika ligi ya England sio kawaida kwa timu kucheza kuanzia nyuma lakini Manchester united wanafanya hivyo,nahapo ndipo msingi wangu mzuri toka Ajax unapo tumika,kuanzia nyuma ilikujenga mashambulizi ndio njia yetu ya pili"

 Japo kua alikulia Ajax Blind hakuwahi kujua jinsi gani Manchester United ni kubwa mpaka pale siku alivyo tangwazwa rasmi kuwa mchezaji wa Manchester Uited ambapo ukurasa wake wa Twitter ulipo fulika watu.

Blind alisema haya "nilipo tia saini tu kujiunga na Manchester United ndipo ukurasa wangu wa twitter ulipo lipuka kwa kujaa watu hii klabu ni kubwa sana"

"Sir Bobby Charlton huja katika chumba cha kubadilishia nguo kila baada ya mechi,ni vizuri kumuona huwa asemi mengi ila uwepo wake ni kama kioo cha timu"


"Robin Van Persie alinisaidia sana nyakati za mwanzoni,sasa hivi najiachia na wachezaji wengine pia,tuna grupu zuri la wachezaji kama Di Maria na Falcao"


"wachezaji waviwango vya dunia.Falcao ni mtu mwenye aibu sana ukikutana nae kwa mara ya kwanza,ni kwangu mimi kufikia uwezo kama wao na historia yangu toka Ajax inakuja hapo pia"


"nilikua nimesha zoea mechi za ligi ya mabingwa jinsi tunavyo cheza mara 3 kwa wiki.Ligi ya England ni yakutumia nguvu sana na ngumu,lakini naiweza,tuna majeruhi wengi lakini mimi nipo vizuri "

0 comments:

Post a Comment