Facebook

Monday 13 October 2014

Majeruhi wazidi kuongezeka Arsenal.

 Kwa sasa tuna wachezaji kumi wa kikosi cha kwanza wapo nje kwa majeruhi. Katika mchezo wa jana wa timu ya taifa Uingereza kufuzu Euro 2016 Danny Welbeck alitonesha enka yake na kutolewa nje dakika 10 kabla ya mpira kumalizika na moja kwa moja alielekea katika chumba cha kubadilishia ngua kwa ajili ya uchunguzi wa jeraha lake.
Ikiwa Danny atakua nje basi taungana na Sanogo pamoja na Giroud ambao wamemtangulia kua nje kwa majeruhi. 

Wengine watakaokua nje ni Mesut Ozil, kiungo mfungaji Aaron Ramsey, beki wa kati Laurent Koscielny, kiungo mkabaji Mikel Arteta, majeruhi wa muda wote Abou Diaby, beki wa kulia Mathieu Debuchy, na chipukizi wa ki-jerumani Serge Gnabry. 

Kati ya hawa nani hasa unadhani utammisi?

Kwa sasa tuna wachezaji kumi wa kikosi cha kwanza wapo nje kwa majeruhi. Katika mchezo wa jana wa timu ya taifa Uingereza kufuzu Euro 2016 Danny Welbeck alitonesha enka yake na kutolewa nje dakika 10 kabla ya mpira kumalizika na moja kwa moja alielekea katika chumba cha kubadilishia ngua kwa ajili ya uchunguzi wa jeraha lake.
Ikiwa Danny atakua nje basi ataungana na Sanogo pamoja na Giroud ambao wamemtangulia kuwa nje kwa majeruhi.

Wengine watakaokuwa nje ni Mesut Ozil, kiungo Aaron Ramsey, beki wa kati Laurent Koscielny, kiungo mkabaji Mikel Arteta, majeruhi wa muda wote Abou Diaby, beki wa kulia Mathieu Debuchy, na chipukizi wa ki-jerumani Serge Gnabry.

0 comments:

Post a Comment