Facebook

Friday 10 October 2014

MANCHESTER UNITED WAPO TAYARI KUMLIPA TYLER BLACKETT £ 50,000 KWA WIKI

-Uongozi wa Manchester United umetangaza
rasmi kwamba wapo katika hatua ya mwisho ya
kuuboresha mkataba wa beki kinda mwenye
umri wa miaka 20,Tyler Blackett ili aendelee
kuwepo kikosini hapo baada ya kuonekana bora
na kocha Van Gaal. Tyler Blackett atasaini
mkataba ambao atakuwa anapokea kiasi cha £
50,000 tofauti na awali ambapo alikuwa
anapokea £ 2,000.

0 comments:

Post a Comment