Facebook

Thursday 9 October 2014

Askari wa usalama barabaraniwaliopiga picha ya mahaba wakiwa nasare za Polisi wafukuzwa kazi


 
Polisi Mkoani Kagera imewafukuza kazi Askari wake watatu kwa kuweka picha za mahaba kwenye mitandao ya kijamii.Askari hao walikuwa wanafanya kazi kikosi cha usalama barabarani Wilayani Misenye.
Kamanda wa Polisi Mkoani Kagera Henry Mwaibambe amesema picha hiyo sio ya kuchakachua na ilipigwa na askari mwenzao ambaye pia amefukuzwa kwa kuwa kitendo hicho kimelidhalilisha jeshi la Polisi.

Huku hilo likitokea vilevile katika kituo hicho askari wemgine waliokuwa na makosa mbalimbali wamehamishwa vitu.Barua rasmi iliyodhibitisha tukio hilo BantuTz iliweza kuinasa mapema hii hapa chini.
 
Endelea kutembelea www.bantutz.com uweze kupata taarifa mbalimbali zinazotokea seheme mbalimbali kwa muda na wakati muafaka.Huku ukivuta subira ujio wa Mtandao mpya wa kijamii kutoka Bantu Inc. 

0 comments:

Post a Comment