Beki wa Everton na timu ya taifa ya England John Stones huenda asicheze
hadi mwakani baada ya kuthibitishwa kuwa anahitaji kufanyiwa upasuaji
katika kifundo cha mguu. Stones, 20, aliumia katika mchezo dhidi ya Manchester United siku ya Jumapili na anatarajiwa kutocheza kati ya wiki 10 hadi 14.
Van Gaal "Wachezaji walikataa kupiga Penati"
Kocha wa Uholanzi Louis van Gaal amesema wachezaji wake wawili
walikataa kupiga penati ya kwanza katika mchezo wao wa nusu fainali
dhidi ya Argentina katika Kombe la Dunia. Beki Ron Vlaar alijitolea ku…Read More
Mashabiki wa Ghana wazamia Brazil
Zaidi ya mashabiki mia mbili wa soka kutoka Ghana walioingia Brazil
kwenda kutazama Kombe la Dunia wameomba hifadhi ya ukimbizi nchini humo.
Polisi wa Brazil katika mji wa Caxias do Sul wa…Read More
Robben: ‘Argentina hawana lolote’
Winga wa kidachi Arjen Robben amekiponda kikosi cha Argentina kwa
kiwango duni walichokionesha mpaka sasa kwenye mashindano ya Kombe la
Dunia, na kusema kuwa hata ushindi wao walioupata dhidi y…Read More
LIVERPOOL NA BARCA WAKUBALIANA JUU YA SUAREZ
Liverpool wamefikia makubaliano ya kumuuza Luis Suarez kwenda Barcelona. Ada ya uhamisho inadhaniwa kuwa takriban pauni milioni 75. Suarez alijiunga na Liverpool mwaka 2011 akitokea Ajax, kwa pauni
milioni 22.7. A…Read More
0 comments:
Post a Comment