Facebook

Thursday 30 October 2014

CHIDI BENZ AVAA MLEGEZO KIZIMBANI.

 
Rapper Chidi benz aliypandishwa kizimbani siku ya jumanne kwa shtaka la kukamatwa na madawa ya kulevya...
Amepandishwa tena kizimbani leo ambapo alirudishwa nje na Jaji akavae vizuri suruali aliyokuwa ameiweka mlegezo na kurudishwa tena rumande hadi novemba 11 atakapopandishwa tena kizimbani.
Baada ya hapo anaweza kuwa na haki ya kupewa dhamana ya shillingi millioni moja na kuwapeleka wadhamini wawili.

0 comments:

Post a Comment