Facebook

Monday 13 October 2014

Linex akana shutuma za uvutaji wa Bangi.

 Kwa mala ya kwanza Leo nimegoma kujibu swali ambalo nimekua nikiulizwa Sana na vyombo vya habari ma swali lenyewe nikuhusi Mimi kujihusisha na matumizi ya uvutaji Bangi Leo nawabia watanzania na wasio watanzania Mimi sijawahi kua mvuta Bangi maisha yangu yote na Kama nna Vuta Mungu ananiona na ningekua mvuta bangi nisingekua na sababu ya kukataa wavuta bangi hamuwasemi hamuwaulizi swali hilo Mimi nisievuta ndo kila siku naulizwa hlo swali naridia tena Sijawahi kua mvuta Bangi sina ratiba ya kutumia dawa za aina yoyote ya kulevya Msinijudge kwa muonekano wangu hivi ndivyo nilivyo na siwezi kua MTU mwingine #Sunday Mangu
Kupitia ukuarasa wake wa facaebook,Sunday Mjeda aliandika hiki

Kwa mala ya kwanza Leo nimegoma kujibu swali ambalo nimekua nikiulizwa Sana na vyombo vya habari ma swali lenyewe nikuhusi Mimi kujihusisha na matumizi ya uvutaji Bangi Leo nawabia watanzania na wasio watanzania Mimi sijawahi kua mvuta Bangi maisha yangu yote na Kama nna Vuta Mungu ananiona na ningekua mvuta bangi nisingekua na sababu ya kukataa wavuta bangi hamuwasemi hamuwaulizi swali hilo Mimi nisievuta ndo kila siku naulizwa hlo swali naridia tena Sijawahi kua mvuta Bangi sina ratiba ya kutumia dawa za aina yoyote ya kulevya Msinijudge kwa muonekano wangu hivi ndivyo nilivyo na siwezi kua MTU mwingine ‪#‎Sunday‬ Mangu

0 comments:

Post a Comment