Facebook

Sunday 22 February 2015

Hizi ndizo sifa za mwanaume anaemtaka Lady Jay Dee kwa sasa


Anaejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma, anaeweza ku take care of me financially.Asiechepuka hovyo (Milupo kila kona ),Asiwe tegemezi.Hata kama sio tajiri lakini asinitegemee.Asiwe mlevi kupindukia wa kulala bar,Wala kulala nje kwa machangu wa Kinondoni au popote pale.Nikikohoa tu awepo hapo.

Kwa mtazamo wako unaweza kupata Mwamke au Mwanaume asiye na mapungufu?

0 comments:

Post a Comment