Facebook

Tuesday, 24 February 2015

Hazard aondoka Chelsea.

"HAZARD AONDOKA CHELSEA
Thorgan Hazard, mdogo wake Eden Hazard wa Chelsea ameingia mkataba wa kubadili uhamisho wake wa mkopo katika klabu ya Borussia Munchengladbach ya Ujerumani, kuwa wa kudumu ifikapo mwisho wa msimu huu. Thorgan Hazard, 21 ambaye alijiunga na Chelsea mwaka 2012, amesaini mkataba na timu hiyo ya Ujerumani hadi 2020."
Thorgan Hazard, mdogo wake Eden Hazard wa Chelsea ameingia mkataba wa kubadili uhamisho wake wa mkopo katika klabu ya Borussia Munchengladbach ya Ujerumani, kuwa wa kudumu ifikapo mwisho wa msimu huu. Thorgan Hazard, 21 ambaye alijiunga na Chelsea mwaka 2012, amesaini mkataba na timu hiyo ya Ujerumani hadi 2020.

Related Posts:

  • Official: Kocha mpya wa Yanga ni Marcio Maximo Official: Kocha mpya wa Yanga ni Marcio Maximo - Yusuph Manji kathibitisha                        &nb… Read More
  • Tetesi za Usajili barani Ulaya. Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger anafikiria kumsaini striker wa AC Milan Mario Balotelli baada ya mchezaji huyo kuambiwa hahitajiki tena San Siro (Daily Mirror), Liverpool, Chelsea na Tottenham pia zinaweza kumfuatilia… Read More
  • Tetesi za usajili barani Ulaya... Meneja Wa Arsenal Arsene Wenger yuko tayari kutumia kitita cha paundi milioni 100 za usajili baada ya yeye mwenyewe kusaini mkataba wa miaka mitatu (Daily Mail),  QPR wanataka kumsajili beki wa Man City Jol… Read More
  • Tetesi za usajili barani Ulaya.   Manchester United imekwisha fahamu wachezaji watano inayowataka, na meneja mpya Louis van Gaal atapewa paundi milioni 220 kuwapata. Van Gaal anataka kumchukua kiungo Kevin Strootman kutoka Roma ya Italia (Dail… Read More
  • David Villa na Frank Lampard wamejiunga na New York FC David Villa na Frank Lampard wamejiunga na New York FC inayoshiriki ligi ya Marekani - timu hiyo inamilikiwa na mmiliki wa Manchester City Sheikh Mansour. Wachezaji hawa wawili leo walionekana katika hospital ya Bri… Read More

0 comments:

Post a Comment