Facebook

Wednesday 25 February 2015

Lamar alia ma-producer wapya kumpoteza.


 
Mtayarishaji muziki Lamar kutoka Fishcrab, amesema kuwa watayarishaji muziki wapya ambao wanaibuka kwa kasi kila kukicha, wamekuwa ndio sababu kubwa ya kuharibu soko lao la muziki.
Amesema hiyo kutokana na kuweka maslahi nyuma na kufanya kazi bure kwa kutafuta kusikika kwanza.
Lamar ameongeza kuwa, kuwepo kwa watayarishaji muziki hao kumetoa nafasi kwa wasanii kupata urahisi wa kuendelea kufanya kazi zao kwa bei rahisi na prodyuza kuendelea kujipatia faida ndogo kutokana na rekodi wanazotengeneza.

0 comments:

Post a Comment